Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kuna mtu hiyo anaiteketeza siku moja alafu kesho ana hata mia mbovu. Kuna wale wakipata hela wanapatwa na ukichaa sijui yani hawezi kutulia mpaka iishe yote.Ingawa milioni huwezi kuila siku 3 labda kama umelipa madeni sawa. Ila kama hujalipa madeni ukala milioni moja ndani ya siku 3 unataka maombi, ni matumizi mabaya ya pesa.
No, it is not true. Eating money will not solve any problems you may have. Money is a form of currency that is used for transactions and as a medium of exchange. It has value because people agree to accept it in exchange for goods and services. Eating money will not address the underlying issues or challenges you may be facing. Instead, it is important to seek appropriate solutions and strategies to tackle your problems. This may involve seeking advice, support, or taking practical steps towards resolving the issues you are facing.If the money you have can’t solve the probs you have eat that money 😂😂
Kidogo kidogo hujaza kibaba, kwa sisi wapambanaji wa kuna mchongo nausikilizia ukifanya hivyo utachelewa sana.Kama pesa uliyo nayo haitoshi kumaliza/ kutatua changamoto na vipengele ulivyo navyo, kula hiyo pesa.
Malizia "wewe, tuliwaambia" kwa sauti ya nyani zee mr blueTumia pesa ikuzoee
Nimecheka sana.kujikaza ni kipaji, no wonder wengine wanaona bora watafute watu wa kuwakazaakiwa hana anajia kabisa sina ngoja nijikaze.
🤣🤣🤣🤣🤣Kuna mtu hiyo anaiteketeza siku moja alafu kesho ana hata mia mbovu. Kuna wale wakipata hela wanapatwa na ukichaa sijui yani hawezi kutulia mpaka iishe yote.
Acha mawazo ya kihuni😃Nimecheka sana.kujikaza ni kipaji, no wonder wengine wanaona bora watafute watu wa kuwakaza
Na huyo mtu yawezekana ni mleviKuna mtu hiyo anaiteketeza siku moja alafu kesho ana hata mia mbovu. Kuna wale wakipata hela wanapatwa na ukichaa sijui yani hawezi kutulia mpaka iishe yote.
HahahaaHata simu ikikaribia kusha charge unaweka Power Saver!
Dawa ya hii ni kuwa na mkopo ukiwa Na mkopo kamwe hutatumia pesa ovyoMchoro umetiki umepata kazi ukalipwa million hela haichukui siku mbili ya tatu chali umebaki na hewa hamna kitu ila ka elfu ulichobakiza kanadumu hata siku nne bila shida, unakabembeleza leo 2000, kesho umetumia 3000 keshokutwa 3000 na nyumbani hutoki siku nzima.
Kwanini hatuna ile roho ya kwamba hela imeingia Tayari ni yangu kwa sasa niachane nayo hiyo millioni nianze kusuka michongo mingine ya kupata nyingine.Hata kama kazi na bata ila million nyingi ukiwekeza kula nyama Choma na vya kunoga noga walahu ufaidi hata week tatu basi ila Duuh sio poa yaani siku tatu unabakia lofa.
Kwanini umehisi n mlevi, walevi wana hizo tabia?Na huyo mtu yawezekana ni mlevi
Hakuna kitu kama hicho unaweza ukawa na madeni na usilipe ukawa Piga sound ukizipata we ni kufakamia mabia na watoto wazuriDawa ya hii ni kuwa na mkopo ukiwa Na mkopo kamwe hutatumia pesa ovyo
😂 ni hatari🤣🤣🤣🤣🤣
Mikopo ya Saccos, vicoba, salary adv. Hata hutafutwi ulipoHakuna kitu kama hicho unaweza ukawa na madeni na usilipe ukawa Piga sound ukizipata we ni kufakamia mabia na watoto wazuri
Mlevi akigusa Hennessy tu anakaribia kufika robo 3 ya 1M. Akizungusha round?Kwanini umehisi n mlevi, walevi wana hizo tabia?
Madeni mabaya yanaweza kukusababisha ukapoteza hata ulivyo navyo. Nidhamu ya fedha ni muhimu sana binafsi nilikuwa mwepesi sana kutoa fedha hata kwa mtu nisiemjua (kama msaada) ila nikafika mahali nikaona natumika vibaya na nikiwa nacho kumnyima mtu siwezi. Nikaja na mbinu nikafungua fixed a/c kila nikipata hela 75% naweka hiyo 25% inabaki kwa matumizi mengine, kuna muda napigika ila sina stress kwa sababu najua yajayo.Dawa ya hii ni kuwa na mkopo ukiwa Na mkopo kamwe hutatumia pesa ovyo
Tupe mbinu mkuuNidhamu ya pesa ni muhimu, hiyo tabia ni hatari sana kwa ustawi wa maendeleo hasa yanayochangiwa na pesa.