Ukipewa nafasi ya kuchagua kuishi kati ya Marekani, Ulaya, Uarabuni na hapa Tanzania utapendelea wapi

matonyamswanu

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2025
Posts
358
Reaction score
433
Wengi wametamani kutimiza ndoto ya kuishi sehemu tajwa ili kujiimarisha, kuendeleza malengo yao kadha wa kadha.

Ungependelea kuishi wapi kati ya maeneo hayo, USA, Europe, uarabuni au ubaki hapa hapa Bongo.

Zingatia mafanikio ya kiuchumi, mahusiano ya kijamii, uhuru wa kujieleza, uhuru wa kuabudu na mengineyo.
 
Tanzania ni mahali salama sana pa kuishi kwa amani na furaha zaidi kuliko sehemu nyingine yoyote duniani gentleman :NoGodNo:
 
Wengi wametamani kutimiza ndoto ya kuishi sehemu tajwa ili kujiimarisha, kuendeleza malengo yao kadha wa kadha.

Ungependelea kuishi wapi kati ya maeneo hayo, USA, Europe, uarabuni au ubaki hapa hapa Bongo.

Zingatia mafanikio ya kiuchumi, mahusiano ya kijamii, uhuru wa kujieleza, uhuru wa kuabudu na mengineyo.
Nikipewa option ya kupewa milioni 200 ili nibaki Tanzania ntachagua kubaki
 
USA alafu Europe (Germany/Luxembourg/Spain/UK/France/Estonia)
 
Uarabuni ndio my first and best priority then Tanzania. Hakuna haja ya kwenda kwa mtu aliyekwisha jitafuta inabidi uanze Naye from the ground
 
Wengi wametamani kutimiza ndoto ya kuishi sehemu tajwa ili kujiimarisha, kuendeleza malengo yao kadha wa kadha.

Ungependelea kuishi wapi kati ya maeneo hayo, USA, Europe, uarabuni au ubaki hapa hapa Bongo.

Zingatia mafanikio ya kiuchumi, mahusiano ya kijamii, uhuru wa kujieleza, uhuru wa kuabudu na mengineyo.
Bongo ndo kila kitu
 
Kwa sasa nipo asia ila Australia ndo nchi ya ndoto zangu au new Zealand..nikikosa Janis basi niende hata Timor leste au new papua guniea...visiwa vyovyote vya oceania kwangu sawa tu..
 
Kila mtu duniani ndoto yake ni kufika USA. Marais wenu pia wanacheza green card lottery
Una uhakika na unachokiongea mkuu? naona umeamua kuwasilisha mawazo yako kwa kuwasemea watu wote!
Unaposema marais wenu wanacheza green card lottery una maanisha marais wa nchi zipi? unao ushahidi wa hilo?
 
Back
Top Bottom