Ukipewa nafasi ya kuchagua kuishi kati ya Marekani, Ulaya, Uarabuni na hapa Tanzania utapendelea wapi

Ukipewa nafasi ya kuchagua kuishi kati ya Marekani, Ulaya, Uarabuni na hapa Tanzania utapendelea wapi

Kwa hiyo watoto wote wa TN na NM hawajapata malezi yanayotakiwa ila wa bongo wana excellent childcare na yenye viwango vyote vya dunia? Au umemsikia huyo mfacebuku ukajua hizo state ni kama shithole country?

Kwanza ushafika mkuu? Kabla sijaenda mbali sana

Wakati huohuo mama yenu kamtuma mzee mzima na litumbo lake kupiga misele DC kutafuta msela yoyote amuunganishe na Rubio
Marekani hivi unajua silaha zinauzwa dukani kama mapanga.Mtoto akaenda shuleni kisa kuna mwenzake alimpiga akaenda na bunduki.Hiyo Tanzania haipo.
Nina ushahidi wa hili kwa ndugu zangu ambao walihamia kule na familia zao
Ndio nimeshafika Nashvile mji mkuu wa jimbo hilo ambapo katikati kuna mto unaitwa Cumberland lake umepita mjini.
Sifa ya Nashville ni mji ambapo kuna wanamuziki wengi wa mziki wa Country.Labda hilo linachangia kuwa na malezi mabaya kwa watoto.Wavuta bangi ni wengi mno na wachora tattoo
Miji mingine niliyofika ya Tannesse ni Knoxvile na Memphis
 
Mimi binafsi nitaishi Tanzania, nikipata hela nitaenda nchi zote kutalii tu ila kuishi ni Dar Es Salaam Tanzania
 
gaidi au mamluki atakaejitia kiheheree kuvuruga amani au kuharibu mali ya umma au binafsi hataachwa hata sekunde moja kufanya hiyo nonsense,

nakushauri ujitenge kabisa na magenge ya kihalifu Tanzania , la sivyo utapata tabu sana.
waambie na wenzako :pulpTRAVOLTA:
Sawa chawa.
 
Unamshuri nani, jishauri mwenyewe.

Unaseme nijitenge unanijua ? au unaropoka upate uteuzi, au sivyo damu za watu ipo siku utaongea peke yako barabarani.
 
Unamshuri nani, jishauri mwenyewe.

Unaseme nijitenge unanijua ? au unaropoka upate uteuzi, au sivyo damu za watu ipo siku utaongea peke yako barabarani.
Okey,
shupaza shingo basi na ujitie kimbelembele na ujifanye gaidi kuharibu miundombini ili hatimae ufurahishwa kwa zawadi mujarabu ya ubaridi :pulpTRAVOLTA:
 
Wengi wametamani kutimiza ndoto ya kuishi sehemu tajwa ili kujiimarisha, kuendeleza malengo yao kadha wa kadha.

Ungependelea kuishi wapi kati ya maeneo hayo, USA, Europe, uarabuni au ubaki hapa hapa Bongo.

Zingatia mafanikio ya kiuchumi, mahusiano ya kijamii, uhuru wa kujieleza, uhuru wa kuabudu na mengineyo.
Samaki hajui thamani ya maji akiwa bado ndani ya maji. Thamani hiyo hujitokeza pale anapotolewa majini, ndipo huanza kupaparika akitafuta maji aliyoyazoea. Asipoyapata, mwisho wake ni kupoteza uhai.

Sisi Watanzania (wabongo) tunaweza kufananishwa na samaki waliomo majini. Tukiwa nyumbani hatuoni thamani ya nchi yetu, lakini mara tu tunapoishi katika nchi za watu, ndipo tamaa ya kurudi nyumbani huanza kujitokeza.

Tatizo kubwa la nyumbani si nchi yenyewe, bali ni sisi wenyewe. Hatukujiandaa kuifanya nyumbani kuwa mahali pa furaha, amani na maisha bora. Miongoni mwa sababu kuu ni pale ambapo, kama Waafrika, bado tunahimiza sana ushirikina, ulozi, chuki na husuda. Badala ya kufurahia mafanikio ya mwenzetu, mara nyingi tunapenda kuona ndugu, jirani au rafiki hafanikiwi.

Hali hii imechangia watu wengi kukata tamaa ya kuishi kwao na kuamua kuondoka makwao wakitafuta maisha bora ugenini. Bila kubadili fikra, maadili na mtazamo wetu kwa maendeleo ya pamoja, tatizo hili litaendelea kuwepo hata tukibadilisha mifumo au viongozi.
 
Okey,
shupaza shingo basi na ujitie kimbelembele na ujifanye gaidi kuharibu miundombini ili hatimae ufurahishwa kwa zawadi mujarabu ya ubaridi :pulpTRAVOLTA:
Nitakuchochea useme mpaka ujinga wote ulioko kichwani mwako.

Neno gaidi unalitamka hata hujui maana yake.

Kinachokusumbua ni ugonjwa wa kuzoea damu za watu.
 
Marekani hivi unajua silaha zinauzwa dukani kama mapanga.Mtoto akaenda shuleni kisa kuna mwenzake alimpiga akaenda na bunduki.Hiyo Tanzania haipo.
Nina ushahidi wa hili kwa ndugu zangu ambao walihamia kule na familia zao
Ndio nimeshafika Nashvile mji mkuu wa jimbo hilo ambapo katikati kuna mto unaitwa Cumberland lake umepita mjini.
Sifa ya Nashville ni mji ambapo kuna wanamuziki wengi wa mziki wa Country.Labda hilo linachangia kuwa na malezi mabaya kwa watoto.Wavuta bangi ni wengi mno na wachora tattoo
Miji mingine niliyofika ya Tannesse ni Knoxvile na Memphis

Matukio ni mangapi kwa mwaka against population? Na shitholeni mangapi pia? Tupe statistics tujue ukubwa wa tatizo, isijekuwa ulienda na visitors visa ya two weeks ukaja na biased conclusion zako, ili ufurahishe haters hapa!

Pili hao ndugu zako walioenda ni wangapi wamekutana na hayo matukio/wamepigwa risasi au wameshindwa kulea hao wana wao?
 
Wengi wametamani kutimiza ndoto ya kuishi sehemu tajwa ili kujiimarisha, kuendeleza malengo yao kadha wa kadha.

Ungependelea kuishi wapi kati ya maeneo hayo, USA, Europe, uarabuni au ubaki hapa hapa Bongo.

Zingatia mafanikio ya kiuchumi, mahusiano ya kijamii, uhuru wa kujieleza, uhuru wa kuabudu na mengineyo.
Huko kote kama huna shughuli za kufanya ni mateso matupu.

Mimi nachaguwa kuishi Tanzania ila niwe na kazi nzr na pesa.

Asikwambie mtu mkuu Tanzania tamu sn ukiwa ana pesa.
Hawa mafisadi wanafaidi sana mema ya duniani.
 
Bongo ndo kila kitu
Ingependeza watu wetu wangekuwa na utamaduni wa kutembea ili kujuwa nchi nyingine wenzetu wanavoishi,Bongo sawa ila ukiwa na uwezo, na uwe na ndugu serikalini, wenzetu Western wanaishi kwa usawa ilimradi tu uwe na haki ya kuishi, upo sawa na mtu yeyote kwenye kupata hakiyako,hospitali polisi nk njoo bongo sasa uone kimbembe uumwe au uwe na tatizo linalohusu police utajuta kuzaliwa..
 
Mi nitabaki hapa hapa Bongo tu.Marekani sio nchi rafiki kwa malezi ya watoto.Kuishi nje ya nchi ni utumwa kama umeshafika huko baki huko lakini kama uko Bongo unaanza kupiga alinacha kutafuta maisha usiende huko sio Marekani tu hata Ulaya.
Fungueni facebook andika jina Uncle Roddy sikilizeni clip zake
Huyo Uncle ndio unamuamini wewe, nilifikiri kuna nchi uliwahi kufika au una rafiki yupo huko. Ungekuwa na mshahara wakutosha kupata nauli na vigezo vya kupata visa kama unavo tembea hata kufungua macho tu, usituletee ushahidi wa youtube,watu wanashinda barabarani kutembeza masifulia mihogo ,kupiga makelele masokoni ukienda na watoto utawaonea huruma halafu ulaumu maisha ya ulaya kweli,
 
Nchi za kuishi ni Scandinavian na Australia. Tanzania kunawafaa walioko kwenye mfumo.
 
ukiwa lofa wa kubebwa ufala wa kifikra na mamluki wa vibaraka wa magharibi huwezi enjoy life popote duniani gentleman

yaani eti janaume zima linapangiwa chumba na mbibi huko nairobi dah :KEKLEO:
Uongo, nchi za wenzetu tunaona watu wanacriticize serikali na wanaishi vizuri
Huo ni uongo, umewahi kusikia Sweden inateka na kuua wapinzani. Hii nchi ni nzuri kuishi kwa CCM tu, ila ukiwa unacriticize serikali ni heri kujichanga uhamie nchi nyingine maana hapa ni siku na saa yoyote unauliwa
 
Estonia ni Patamu sana karibuni wadau ..Europe is far better in life than usa and Africa
 
Back
Top Bottom