Ukipewa nafasi ya kuchagua kuishi kati ya Marekani, Ulaya, Uarabuni na hapa Tanzania utapendelea wapi

Gentleman,
porojo za wavivu,
mawazo na malalamiko ya mamluki malofa daima hupuuzwa kote ulimwenguni

ni vizuri kuelewa jambo hili muhimu kabla ya kuja kumbwlambwela na drama za kindezi kama hizo:pulpTRAVOLTA:
Kauli zako mkuu, hazina utu, uchungu, uzalendo, Utanganyika, Uzanzibar, labda kama ulifunzwa rasmi kuuwa watu. Na damu zimekuvuruga akili.

Sikutaka kukujibu, lakini imeonekana umefurahia vifo vya watu bila kujali wengine hawakuhusika kabisa na maandamano haya.

Mama mmoja alilia kwa uchungu" Samia nimetoka kumpigia kura lakini ameniulia mwanangu pekee.

Wamekufa CCM, wamekufa wapinzani, wamekufa wajawazito, wamekufa watoto wamekufa wazee nk. Wenye akili timamu huogoga damu. Vichaa hunywa damu.
 
daima huwa naeleza ukweli kwenye mambo ya msingi tu,

na siku zote ukweli mchungu na ukweli una kera sana gentleman,
ni vizuri kufanya mazoezi ya kuupokea ukweli na itapendeza zaidi.

kazi na utu, tusonge mbele pamoja kama taifa,

na daima magaidi na maharamia hayachekewi wala kuonewa huruma au haya hasa yanapoharibu amani, miuondombinu ya umma na binafsi bila sababu yoyote. Usithubutu kua sehemu ya magenge ya kihalifu au magaidi utakua baridi mara moja.
waambie na wenzako :pulpTRAVOLTA:
 
naima huwa naeleza ukweli kwenye mambo ya msingi tu,

Pole mkuu, naona damu za Watanganyika zimekuchanganya akili, umevurugwa. Kila anayesoma comments zako anakushangaa.

Hakuna lugha, itakuingia, hakuna idadi ya vifo itakuogopesha.
 
Pole kaka muuaji. Damu za Watanganyika zimekuvuruga akili, hujui unaandika nini.

Hakuna idadi ya vifo itakayokuogopesha, hakuna uovu utakaoacha kufanya.

Tangu Nyerere hadi leo uovu huu haujawahi kuonekana.
 
ni muhimu sana kuzingatia mawaidha hayo mujarabu kwa faida yako na vijana wenzako.
msikubali kufanywa maluki au magaidi kwa porojo za vibaraka. Msithubu kukubali kubebwa ufala wa kifikra kindezi ndezi tu hasa na hao vibaraka wanafadhliwa na mabwenyenye ya magharibi.

mtaaumizwa na kuangamizwa kilofa sana mkicheza na amani ya Tanzania.
Don't try that at all :pulpTRAVOLTA:
 
Mimi kijana duuuh. Ama kweli maajabu ya Tlaatlaah
 
Pole kaka muuaji. Damu za Watanganyika zimekuvuruga akili, hujui unaandika nini.

Hakuna idadi ya vifo itakayokuogopesha, hakuna uovu utakaoacha kufanya.

Tangu Nyerere hadi leo uovu huu haujawahi kuonekana.
hakuna taifa linaloogopa kuyasambaratisha magaidi,
na daima hakuna kuona huruma , aibu wala haya katika kudeal na vitendo vya kigaidi pote duniani.

plz plz gentleman,
avoid being part of terrorists worldwide :pulpTRAVOLTA:
 
Una
ikiwa ni mzee ama vinginevyo but don't associate yourself with criminals especially terrorists or mercenaries elsewhere in the world, right? :pulpTRAVOLTA:
Tukubali basi mimi ni kijana, ndiyo nastahili kufa bila hatia, tena nimefuatwa ndani.

Najua jibu lako likoje,, nataka tu ujibu ili wasomaje waone ulivyo mnyama na muuaji
 
Nakumbuka kipindi cha Magufuli, nilikuwa sitamani kuishi nchi yoyote ile tofauti na Tanzania
Ila kwa sasahivi, niwe tu mkweli natamani kuishi USA, Canada, UK au Australia
Waliowahi kuishi hayo maeneo yote matatu nadhani watakuwa na majibu ya wapi panafaa.
 
Una

Tukubali basi mimi ni kijana, ndiyo nastahili kufa bila hatia, tena nimefuatwa ndani.

Najua jibu lako likoje,, nataka tu ujibu ili wasomaje waone ulivyo mnyama na muuaji
ulichokitaja ndicho haswa zawadi stahiki ya gaidi muharibu amani na miundombinu ya umma au binafsi ndugu mdau, gaidi atafuatwa popote aliko na kuwajibishwa ipasavyo bila huruma wala aibu,

there is no rooms for criminals and completely there is no escape roots for terrorists within Tanzanian borders :pulpTRAVOLTA:
 
Endelea kuwa kichekesho mkuu. Na yule mjamzito aliyepigwa risasi naye alikuwa gaidi?

Na yule mtoto wa miaka minne je
 
ndugu mdau,
I can tell you without fear of contradictions,
Tanzanians security forces has zero tolerance towards terrorists regardless of their gander.

distance yourself from being part of terrorists or terrorist acts :pulpTRAVOLTA:
 
NYUMBANI NI NYUMBANI TU.

Huwez kusema mbele ya baba ako et unataman kuish kwa akina SHABAN au JOHN kisa wao ni matajiri wanakula na kuvaa vizuri.
atakae leta ujuaji hapa, anambie jinsi atavo jisikia mwanae akitamka ivo
 
daima huwa naeleza ukweli kwenye mambo ya msingi tu,

na siku zote ukweli mchungu na ukweli una kera sana gentleman,
ni vizuri kufanya mazoezi ya kuupokea ukweli na itapendeza zaidi.

kazi na utu, tusonge mbele pamoja kama taifa,

na daima magaidi na maharamia hayachekewi wala kuonewa huruma au haya hasa yanapoharibu amani, miuondombinu ya umma na binafsi bila sababu yoyote. Usithubutu kua sehemu ya magenge ya kihalifu au magaidi utakua baridi mara moja.
waambie na wenzako :pulpTRAVOLTA:
nipo geto ijia BUKU SABA yako
 
NYUMBANI NI NYUMBANI TU.

Huwez kusema mbele ya baba ako et unataman kuish kwa akina SHABAN au JOHN kisa wao ni matajiri wanakula na kuvaa vizuri.
atakae leta ujuaji hapa, anambie jinsi atavo jisikia mwanae akitamka ivo
Kwenye familia mtoto akisema anatamani kuishi kwa akina John, wazazi watajisikia vibaya
Lakini Mtanzania akisema anatamani kuishi Marekani, nani atakayejisikia vibaya?
 
ndugu mdau,
I can tell you without fear of contradictions,
Tanzanians security forces has zero tolerance towards terrorists regardless of their gander.

distance yourself from part of terrorists or terrorist acts :pulpTRAVOLTA:
Kwa uroho wa mali, na madaraka yenu haya, hata Nyerere aliyeipigania nchi na kuacha ualimu tukapata uhuru bila damu, angekushauri uache mauaji ungemuita gaidi ili uhalalishe uovu wenu

Hakuna mtu mtamsikiliza wala siandiki kukuelimisha wewe mnyonya damu bali kuwaonyesha Watanganyika mahala tulipofikishwa.
 
gaidi au mamluki atakaejitia kiheheree kuvuruga amani au kuharibu mali ya umma au binafsi hataachwa hata sekunde moja kufanya hiyo nonsense,

nakushauri ujitenge kabisa na magenge ya kihalifu Tanzania , la sivyo utapata tabu sana.
waambie na wenzako :pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom