Ni nchi nzuri sana ukiwa chawa wa CCM au kazi yako ikiwa ni kuwapamba viongozi wa CCM. Lakini ukiwa unacriticize viongozi waliopo madarakani Tanzania sio nchi salama. Wewe unaona Tanzania ni salama kwa sababu upo kwenye hilo kundi la kwanzaTanzania ni mahali salama sana pa kuishi kwa amani na furaha zaidi kuliko sehemu nyingine yoyote duniani gentleman![]()
Hili swali ukiuliza wanzenji wote watajibu kama wewe.Uarabuni ndio my first and best priority then Tanzania. Hakuna haja ya kwenda kwa mtu aliyekwisha jitafuta inabidi uanze Naye from the ground
Uk life liko tough sana usa kuna crimes nyingi sana at least apa kwetu tu life liko simple na arabs zipendi itikadi zaoWengi wametamani kutimiza ndoto ya kuishi sehemu tajwa ili kujiimarisha, kuendeleza malengo yao kadha wa kadha.
Ungependelea kuishi wapi kati ya maeneo hayo, USA, Europe, uarabuni au ubaki hapa hapa Bongo.
Zingatia mafanikio ya kiuchumi, mahusiano ya kijamii, uhuru wa kujieleza, uhuru wa kuabudu na mengineyo.
Nikipewa option ya kupewa milioni 200 ili nibaki Tanzania ntachagua kubaki
Mi nitabaki hapa hapa Bongo tu.Marekani sio nchi rafiki kwa malezi ya watoto.Kuishi nje ya nchi ni utumwa kama umeshafika huko baki huko lakini kama uko Bongo unaanza kupiga alinacha kutafuta maisha usiende huko sio Marekani tu hata Ulaya.
Fungueni facebook andika jina Uncle Roddy sikilizeni clip zake
ukiwa lofa wa kubebwa ufala wa kifikra na mamluki wa vibaraka wa magharibi huwezi enjoy life popote duniani gentlemanNi nchi nzuri sana ukiwa chawa wa CCM au kazi yako ikiwa ni kuwapamba viongozi wa CCM. Lakini ukiwa unacriticize viongozi waliopo madarakani Tanzania sio nchi salama. Wewe unaona Tanzania ni salama kwa sababu upo kwenye hilo kundi la kwanza

Gentleman,Yes ni salama sana, mahali unapoweza kupotezwa na hakuna record itapatikana na hamna atakayejali, tupo sawa na ngiri tu simba anajichukulia na maisha yanasonga tu!

Unajua million 200 ni ndogo sana?Nikipewa option ya kupewa milioni 200 ili nibaki Tanzania ntachagua kubaki
Tennessee na NEW MexicoMarekani pande zipi kuna hayo uliyoyataja?
Nakumbuka kipindi cha Magufuli, nilikuwa sitamani kuishi nchi yoyote ile tofauti na Tanzania
Ila kwa sasahivi, niwe tu mkweli natamani kuishi USA, Canada, UK au Australia
OkayMi nitabaki hapa hapa Bongo tu.Marekani sio nchi rafiki kwa malezi ya watoto.Kuishi nje ya nchi ni utumwa kama umeshafika huko baki huko lakini kama uko Bongo unaanza kupiga alinacha kutafuta maisha usiende huko sio Marekani tu hata Ulaya.
Fungueni facebook andika jina Uncle Roddy sikilizeni clip zake