Ukipewa nafasi ya kuchagua kuishi kati ya Marekani, Ulaya, Uarabuni na hapa Tanzania utapendelea wapi

Ukipewa nafasi ya kuchagua kuishi kati ya Marekani, Ulaya, Uarabuni na hapa Tanzania utapendelea wapi

Tanzania ni mahali salama sana pa kuishi kwa amani na furaha zaidi kuliko sehemu nyingine yoyote duniani gentleman :NoGodNo:
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
 
Tennessee na NEW Mexico

Kwa hiyo watoto wote wa TN na NM hawajapata malezi yanayotakiwa ila wa bongo wana excellent childcare na yenye viwango vyote vya dunia? Au umemsikia huyo mfacebuku ukajua hizo state ni kama shithole country?

Kwanza ushafika mkuu? Kabla sijaenda mbali sana

Wakati huohuo mama yenu kamtuma mzee mzima na litumbo lake kupiga misele DC kutafuta msela yoyote amuunganishe na Rubio
 
Wengi wametamani kutimiza ndoto ya kuishi sehemu tajwa ili kujiimarisha, kuendeleza malengo yao kadha wa kadha.

Ungependelea kuishi wapi kati ya maeneo hayo, USA, Europe, uarabuni au ubaki hapa hapa Bongo.

Zingatia mafanikio ya kiuchumi, mahusiano ya kijamii, uhuru wa kujieleza, uhuru wa kuabudu na mengineyo.

USA kwa sasa sio sehemu unaweza kwenda kirahisi,.maana Trump anapiga ban kama kapagawa...

Wewe komaa bongo utatoka kirahisi kuliko huko ughaibuni...
 
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
ok :HAhaa:
 
Bongo hapahapa, fursa bado nyingi, asilimia kubwa watu wako kwenye lindi la usingizi....Shida viongozi wa hovyo sana..imagine bado tunaishi kwa mgao wa maji DSM
 
Gentleman,
hakuna mahali popote duniani ambapo gaidi anaweza kuchekewa tu akiwa anaharibu miundombinu ya umma :KEKLEO:
Ni Tanzania tu ambapo anayelalamika kupotelewa na ndugu yake aliyetekwa au kuuwawa, naye anaitwa gaidi.

Ni Tanzania tu ambapo raia wake hasa wenye mawazo mbadala wana thamani ndogo kuliko mbwa.😤😤😤
 
School shooting unazijua wewe!

Au watoto wako hawatoenda shule?
Linaonekana tatizo Kubwa kwa sababu media zao ziko huru...kama unadhani huku kwetu vingekua vinaripotiwa vyote kwa nguvu si watu wangeogopa, ishu za shule za wasichanakuchomwa nk
 
Ni Tanzania tu ambapo anayelalamika kupotelewa na ndugu yake aliyetekwa au kuuwawa, naye anaitwa gaidi.

Ni Tanzania tu ambapo raia wake hasa wenye mawazo mbadala wana thamani ndogo kuliko mbwa.😤😤😤
Gentleman,
porojo za wavivu,
mawazo na malalamiko ya mamluki malofa daima hupuuzwa kote ulimwenguni

ni vizuri kuelewa jambo hili muhimu kabla ya kuja kumbwlambwela na drama za kindezi kama hizo:pulpTRAVOLTA:
 
Sasa si inategemea unaenda kufanya nini.
Je, kama huko unaenda kuwa homeless?
 
Wengi wametamani kutimiza ndoto ya kuishi sehemu tajwa ili kujiimarisha, kuendeleza malengo yao kadha wa kadha.

Ungependelea kuishi wapi kati ya maeneo hayo, USA, Europe, uarabuni au ubaki hapa hapa Bongo.

Zingatia mafanikio ya kiuchumi, mahusiano ya kijamii, uhuru wa kujieleza, uhuru wa kuabudu na mengineyo.
Kupenda kuishi maeneo kiutafutaji twaweza jadili tofauti, lakini hili la kuishi mazima, siwezi kupenda kuishi ambayo sijazaliwako.

Siyo nchi tu, hata mkoa, siyo Mkoa tu, hata Wilaya!

Najisikia faraja kuishi na kumalizia maisha hapa hapa.

Kama kutoka, nisafiri nikatafute af nirejee.
 
Back
Top Bottom