matonyamswanu
JF-Expert Member
- Dec 7, 2025
- 358
- 433
Tanzania ni mahali salama sana pa kuishi kwa amani na furaha zaidi kuliko sehemu nyingine yoyote duniani gentlemanWengi wametamani kutimiza ndoto ya kuishi sehemu tajwa ili kujiimarisha, kuendeleza malengo yao kadha wa kadha.
Ungependelea kuishi wapi kati ya maeneo hayo, USA, Europe, uarabuni au ubaki hapa hapa Bongo.
Zingatia mafanikio ya kiuchumi, mahusiano ya kijamii, uhuru wa kujieleza, uhuru wa kuabudu na mengineyo.
Nikipewa option ya kupewa milioni 200 ili nibaki Tanzania ntachagua kubakiWengi wametamani kutimiza ndoto ya kuishi sehemu tajwa ili kujiimarisha, kuendeleza malengo yao kadha wa kadha.
Ungependelea kuishi wapi kati ya maeneo hayo, USA, Europe, uarabuni au ubaki hapa hapa Bongo.
Zingatia mafanikio ya kiuchumi, mahusiano ya kijamii, uhuru wa kujieleza, uhuru wa kuabudu na mengineyo.
Ajali za mabasi unazijua wewe?School shooting unazijua wewe!
Au watoto wako hawatoenda shule?
Tukizingatia, uhuru wa kuabudu, uhuru wa kujieleza demokrasia, kujumuika kijamii au mahusiano ya kijamii, mishe mishe rahisi kiuchumi kupata pesaUSA alafu Europe (Germany/Luxembourg/Spain/UK/France/Estonia)
Bongo ndo kila kituWengi wametamani kutimiza ndoto ya kuishi sehemu tajwa ili kujiimarisha, kuendeleza malengo yao kadha wa kadha.
Ungependelea kuishi wapi kati ya maeneo hayo, USA, Europe, uarabuni au ubaki hapa hapa Bongo.
Zingatia mafanikio ya kiuchumi, mahusiano ya kijamii, uhuru wa kujieleza, uhuru wa kuabudu na mengineyo.
Tanzania ni mahali salama sana pa kuishi kwa amani na furaha zaidi kuliko sehemu nyingine yoyote duniani gentleman
Una uhakika na unachokiongea mkuu? naona umeamua kuwasilisha mawazo yako kwa kuwasemea watu wote!Kila mtu duniani ndoto yake ni kufika USA. Marais wenu pia wanacheza green card lottery