Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,909
- 3,210
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.Tanzania ni mahali salama sana pa kuishi kwa amani na furaha zaidi kuliko sehemu nyingine yoyote duniani gentleman
Tennessee na NEW Mexico
Wengi wametamani kutimiza ndoto ya kuishi sehemu tajwa ili kujiimarisha, kuendeleza malengo yao kadha wa kadha.
Ungependelea kuishi wapi kati ya maeneo hayo, USA, Europe, uarabuni au ubaki hapa hapa Bongo.
Zingatia mafanikio ya kiuchumi, mahusiano ya kijamii, uhuru wa kujieleza, uhuru wa kuabudu na mengineyo.
okThere is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
Gentleman,
hakuna mahali popote duniani ambapo gaidi anaweza kuchekewa tu akiwa anaharibu miundombinu ya umma
ZanzibarSehemu gani ingine unaijua duniani mkuu?
Zanzibar
okey,Kumbe kwa ngiri wengine😛? Ahsante, so ufahamu wako haujavuka mipaka endelea kumtumikia abduli kuua tu, ndio akili zenu zilipoishia
Ni Tanzania tu ambapo anayelalamika kupotelewa na ndugu yake aliyetekwa au kuuwawa, naye anaitwa gaidi.Gentleman,
hakuna mahali popote duniani ambapo gaidi anaweza kuchekewa tu akiwa anaharibu miundombinu ya umma
Linaonekana tatizo Kubwa kwa sababu media zao ziko huru...kama unadhani huku kwetu vingekua vinaripotiwa vyote kwa nguvu si watu wangeogopa, ishu za shule za wasichanakuchomwa nkSchool shooting unazijua wewe!
Au watoto wako hawatoenda shule?
Gentleman,Ni Tanzania tu ambapo anayelalamika kupotelewa na ndugu yake aliyetekwa au kuuwawa, naye anaitwa gaidi.
Ni Tanzania tu ambapo raia wake hasa wenye mawazo mbadala wana thamani ndogo kuliko mbwa.😤😤😤
Jamaa anauliza swali la kitoto sana! Ina maana watoto wa US walishaacha kusoma shauri ya risasi?Ajali za mabasi unazijua wewe?
Umeacha kusafiri na mabasi?
Kupenda kuishi maeneo kiutafutaji twaweza jadili tofauti, lakini hili la kuishi mazima, siwezi kupenda kuishi ambayo sijazaliwako.Wengi wametamani kutimiza ndoto ya kuishi sehemu tajwa ili kujiimarisha, kuendeleza malengo yao kadha wa kadha.
Ungependelea kuishi wapi kati ya maeneo hayo, USA, Europe, uarabuni au ubaki hapa hapa Bongo.
Zingatia mafanikio ya kiuchumi, mahusiano ya kijamii, uhuru wa kujieleza, uhuru wa kuabudu na mengineyo.