NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,868
- 5,164
Marekani hivi unajua silaha zinauzwa dukani kama mapanga.Mtoto akaenda shuleni kisa kuna mwenzake alimpiga akaenda na bunduki.Hiyo Tanzania haipo.Kwa hiyo watoto wote wa TN na NM hawajapata malezi yanayotakiwa ila wa bongo wana excellent childcare na yenye viwango vyote vya dunia? Au umemsikia huyo mfacebuku ukajua hizo state ni kama shithole country?
Kwanza ushafika mkuu? Kabla sijaenda mbali sana
Wakati huohuo mama yenu kamtuma mzee mzima na litumbo lake kupiga misele DC kutafuta msela yoyote amuunganishe na Rubio
Sawa chawa.gaidi au mamluki atakaejitia kiheheree kuvuruga amani au kuharibu mali ya umma au binafsi hataachwa hata sekunde moja kufanya hiyo nonsense,
nakushauri ujitenge kabisa na magenge ya kihalifu Tanzania , la sivyo utapata tabu sana.
waambie na wenzako
karibu NyumbuSawa chawa.
Unamshuri nani, jishauri mwenyewe.gaidi au mamluki atakaejitia kiheheree kuvuruga amani au kuharibu mali ya umma au binafsi hataachwa hata sekunde moja kufanya hiyo nonsense,
nakushauri ujitenge kabisa na magenge ya kihalifu Tanzania , la sivyo utapata tabu sana.
waambie na wenzako
Kwa nini Dar es Salaam na sio miji mingineMimi binafsi nitaishi Tanzania, nikipata hela nitaenda nchi zote kutalii tu ila kuishi ni Dar Es Salaam Tanzania
Okey,Unamshuri nani, jishauri mwenyewe.
Unaseme nijitenge unanijua ? au unaropoka upate uteuzi, au sivyo damu za watu ipo siku utaongea peke yako barabarani.
Samaki hajui thamani ya maji akiwa bado ndani ya maji. Thamani hiyo hujitokeza pale anapotolewa majini, ndipo huanza kupaparika akitafuta maji aliyoyazoea. Asipoyapata, mwisho wake ni kupoteza uhai.Wengi wametamani kutimiza ndoto ya kuishi sehemu tajwa ili kujiimarisha, kuendeleza malengo yao kadha wa kadha.
Ungependelea kuishi wapi kati ya maeneo hayo, USA, Europe, uarabuni au ubaki hapa hapa Bongo.
Zingatia mafanikio ya kiuchumi, mahusiano ya kijamii, uhuru wa kujieleza, uhuru wa kuabudu na mengineyo.
Nitakuchochea useme mpaka ujinga wote ulioko kichwani mwako.Okey,
shupaza shingo basi na ujitie kimbelembele na ujifanye gaidi kuharibu miundombini ili hatimae ufurahishwa kwa zawadi mujarabu ya ubaridi
Marekani hivi unajua silaha zinauzwa dukani kama mapanga.Mtoto akaenda shuleni kisa kuna mwenzake alimpiga akaenda na bunduki.Hiyo Tanzania haipo.
Nina ushahidi wa hili kwa ndugu zangu ambao walihamia kule na familia zao
Ndio nimeshafika Nashvile mji mkuu wa jimbo hilo ambapo katikati kuna mto unaitwa Cumberland lake umepita mjini.
Sifa ya Nashville ni mji ambapo kuna wanamuziki wengi wa mziki wa Country.Labda hilo linachangia kuwa na malezi mabaya kwa watoto.Wavuta bangi ni wengi mno na wachora tattoo
Miji mingine niliyofika ya Tannesse ni Knoxvile na Memphis
Huko kote kama huna shughuli za kufanya ni mateso matupu.Wengi wametamani kutimiza ndoto ya kuishi sehemu tajwa ili kujiimarisha, kuendeleza malengo yao kadha wa kadha.
Ungependelea kuishi wapi kati ya maeneo hayo, USA, Europe, uarabuni au ubaki hapa hapa Bongo.
Zingatia mafanikio ya kiuchumi, mahusiano ya kijamii, uhuru wa kujieleza, uhuru wa kuabudu na mengineyo.
Ingependeza watu wetu wangekuwa na utamaduni wa kutembea ili kujuwa nchi nyingine wenzetu wanavoishi,Bongo sawa ila ukiwa na uwezo, na uwe na ndugu serikalini, wenzetu Western wanaishi kwa usawa ilimradi tu uwe na haki ya kuishi, upo sawa na mtu yeyote kwenye kupata hakiyako,hospitali polisi nk njoo bongo sasa uone kimbembe uumwe au uwe na tatizo linalohusu police utajuta kuzaliwa..Bongo ndo kila kitu
Huyo Uncle ndio unamuamini wewe, nilifikiri kuna nchi uliwahi kufika au una rafiki yupo huko. Ungekuwa na mshahara wakutosha kupata nauli na vigezo vya kupata visa kama unavo tembea hata kufungua macho tu, usituletee ushahidi wa youtube,watu wanashinda barabarani kutembeza masifulia mihogo ,kupiga makelele masokoni ukienda na watoto utawaonea huruma halafu ulaumu maisha ya ulaya kweli,Mi nitabaki hapa hapa Bongo tu.Marekani sio nchi rafiki kwa malezi ya watoto.Kuishi nje ya nchi ni utumwa kama umeshafika huko baki huko lakini kama uko Bongo unaanza kupiga alinacha kutafuta maisha usiende huko sio Marekani tu hata Ulaya.
Fungueni facebook andika jina Uncle Roddy sikilizeni clip zake
Uongo, nchi za wenzetu tunaona watu wanacriticize serikali na wanaishi vizuriukiwa lofa wa kubebwa ufala wa kifikra na mamluki wa vibaraka wa magharibi huwezi enjoy life popote duniani gentleman
yaani eti janaume zima linapangiwa chumba na mbibi huko nairobi dah
Hali ya hewa na afya yangu vinaendanaKwa nini Dar es Salaam na sio miji mingine
SELIKALI YA CCMKwenye familia mtoto akisema anatamani kuishi kwa akina John, wazazi watajisikia vibaya
Lakini Mtanzania akisema anatamani kuishi Marekani, nani atakayejisikia vibaya?