Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes wazo zuri kabsa hili mkuuMchezaji anapojiangusha kupoteza muda refa asimruhusu kurudi uwanjani mpaka baada ya dk mbili
Refa pia afanyiwe 'substitution' katikati ya mchezo kama akionekana anapwaya kimaamuzi.Habari wanamichezo,
Ikatokewa umepewa nafasi ya kuongeza Sheria moja mpya kwenye mpira wa miguu ungeongeza IP?
Ziongezwe dakika hadi Mia moja badala ya tisini ili kuwe na burudani la kutoshsHabari wanamichezo,
Ikatokewa umepewa nafasi ya kuongeza Sheria moja mpya kwenye mpira wa miguu ungeongeza IP?
Ukisema kurusha basi lazima tukio liambatane na mkono. Labda ubadilishe hapo kwenye neno kurushampira wa kurusha isitumike mikono bali miguu....
[emoji28][emoji28][emoji28]Mchezaji atakae sababisha penalty yeye ndo akaidake hiyo penalty, haiwezekani kosa afanye mwingine adhabu iende kwa kipa
Manara asijihusishe na mpira anaunajisi mpiraHabari wanamichezo,
Ikatokewa umepewa nafasi ya kuongeza Sheria moja mpya kwenye mpira wa miguu ungeongeza ipi?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mchezaji atakae sababisha penalty yeye ndo akaidake hiyo penalty, haiwezekani kosa afanye mwingine adhabu iende kwa kipa
Hii itasababisha usumbufu kwa magolikipa.Offside ifutwe maana idadi ya wachezaji ni sawa na mipaka ya uwanja inafahamika.
Hii iliwahi kufikiriwampira wa kurusha isitumike mikono bali miguu....
🥲🤣🤣🤣🤣we jamaa hutakii wa2 memaKwenye penalty, refa akiruhusu tu, kipa aruhusiwe kutoka. Ili kama mpigaji kaanzia mbali wakutanie katikati🙄🙄🙄View attachment 2179782