Ukipewa nafasi ya kuongeza Sheria moja kwenye soka ungeongeza ipi?

Ukipewa nafasi ya kuongeza Sheria moja kwenye soka ungeongeza ipi?

Hatua za kupigia penati ziongezwe kwasababu ni karibu sana. Ukiona goalkeeper kadaka penati ni kwakuotea(kubahatisha tuu). Siyo rahisi kudaka penati
 
Mchezaji akiumia kiasi cha kutolewa nje ya kiwanja kupata matibabu basi mchezaji aliemuumiza kama hakupata kadi nyekundu, na yeye akae nje ya kiwanja mpaka anaetibiwa arudi kiwanjani ndipo na yeye aruhusiwe kurudi kiwanjani ( hata kama alipewa kadi ya njano).
 
Refa awe na kadi ya pongezi....kwa magoli makali kama anayofunga MAYELE...

Marefa wa kati wawe wawili....mmoja kipindi cha kwanza mwingine aingie kipind cha pili...
 
Habari wanamichezo,

Ikatokewa umepewa nafasi ya kuongeza Sheria moja mpya kwenye mpira wa miguu ungeongeza ipi?
Mimi ningeomba waongeze kila anaekuwa bingwa wa ligi kwenye nchi yake. Atanzia round ya pili kwenye ligi ya mabingwa CAF champions league.
 
Back
Top Bottom