Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,805
- 17,850
Kutokuwa "Official Worker" wa mambo ya mpira..Nini maana ya kutokujihusisha na shughuli za mpira?
Ila kuwa MC siyo official kazi ya mpira, ni personal job.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutokuwa "Official Worker" wa mambo ya mpira..Nini maana ya kutokujihusisha na shughuli za mpira?
Kwahiyo hapo yanga wanastahili adhabu na manara anastahili adhabu nyingineHii nidharau kwa kamati ya maadili ya TFF. Yanga ndio wanapaswa kuadhibiwa kwa kuendelea kumpa huyu mwendawazimu jukwaa la kuidharau TFF. Kutojihusisha na maswala ya soka maanake akae mbali na soka au mpira wa miguu. Sasa hapo ni kitu gani Manara na Yanga hawaelewi?
Falsafa ya wanachukua chako mapema au🤔Hapo kwel lazima ung'olewe meno na kucha, Pesa chota lakini kiti cha Green-Yellow waachie wakurungwa.
Wao tiiefuefu ndio maboga Wana mwonea wivu Nara boy Kwa kuwa ameihama Kambi yao🏃utopolo ni Mali ya GSM wamejipenyeza mpaka wamekuwa Marais wa timu.
Msemaji wao ndo huyo mpungufu wa AKILI.
TFF mkimuacha manara na utopolo nyie mtakuwa maboga
Utamgusa kwa lipi? Utamvua uenyekiti wa kitu gani? Utamfukiza uanachama wa chama gani? Kwa Jurisdiction ipi ta TFF? Mtamvua uraia? Mtapeleka gerezani, kwa sheria ipi?Eti wadau ukipigwa marufuku kula nyama kwa miaka miwili halafu ukaamua kuinyonya, kuilamba na kunywa mchuzi wake utakuwa umevunja kanuni?
Case study Haji manara! Sikio la kufa!
Kaonekana akitangaza leo taifa, kwa haiba yake akiguswa na TFF atakuwa kaonewa? Tueleweshane hapo! AU makundi maalum wanaruhusiwa kuvunja sheria!
Labda watamvua uraia wa Tz 😂😂Akipigwa mvua ya maisha halafu akaendelea inakuwaje?
Yeye alieleza kuwa yuko pale kama MC hivyo analipwa, je, ni kweli Haji hufanya kazi za MC kama alivyosema? Na huko Tabata ni kweli amekwenda kama MC na yuko? Kama hujishughulisha na umc siku zote haina shida ila kama hajihusishi atawajibishwa.Eti wadau ukipigwa marufuku kula nyama kwa miaka miwili halafu ukaamua kuinyonya, kuilamba na kunywa mchuzi wake utakuwa umevunja kanuni?
Case study Haji manara! Sikio la kufa!
Kaonekana akitangaza leo taifa, kwa haiba yake akiguswa na TFF atakuwa kaonewa? Tueleweshane hapo! AU makundi maalum wanaruhusiwa kuvunja sheria!
Timu iliyo muita inapigwa faini na kupewa onyo Kali, ikiwezekana asilimia ya mapato wanayafyekaUtamgusa kwa lipi? Utamvua uenyekiti wa kitu gani? Utamfukiza uanachama wa chama gani? Kwa Jurisdiction ipi ta TFF? Mtamvua uraia? Mtapeleka gerezani, kwa sheria ipi?
Unao uhakika wa ukisemacho?Hii nidharau kwa kamati ya maadili ya TFF. Yanga ndio wanapaswa kuadhibiwa kwa kuendelea kumpa huyu mwendawazimu jukwaa la kuidharau TFF. Kutojihusisha na maswala ya soka maanake akae mbali na soka au mpira wa miguu. Sasa hapo ni kitu gani Manara na Yanga hawaelewi?
Hiyo barua ya kumuita wewe umeiona wapi? Au unapiga ramli?Timu iliyo muita inapigwa faini na kupewa onyo Kali, ikiwezekana asilimia ya mapato wanayafyeka
Hajapata pesa ya kwenda Simba day😁Huyu jamaa ana psychological disorder ya hali ya juu sana, bad enough inasikitisha uongozi wa Yanga unalea hii takataka. Nimeishi Yanga miaka mingi sana hiki kituko sijawai ona.
Wewe unaroho ya kwasababu!Watanzania Wengi Wana roho za kwanini...
Aliondoka kabla ya mechi kuanza.Timu iliyo muita inapigwa faini na kupewa onyo Kali, ikiwezekana asilimia ya mapato wanayafyeka
Akili hizi bwana, kweli kila mtu ana zake.Mnataka aishi vipi?
Mmemfungia kwenye soka, hamtaki hata afanye kazi zingine?
Kaenda pale kama MC,thats all.
Ila Eng Hersi mjanja sana. Hii mbinu ni Babu kubwa. Amemsakizia Haji ili akutane na ban ya maisha kama njia ya kummwe-evacuate Haji bila kujitambua. Amempiga sindano ya ganzi aondoke bila maumivu, naye amejaa tayari. Akili kubwa kwa akili ndogo.Hii nidharau kwa kamati ya maadili ya TFF. Yanga ndio wanapaswa kuadhibiwa kwa kuendelea kumpa huyu mwendawazimu jukwaa la kuidharau TFF. Kutojihusisha na maswala ya soka maanake akae mbali na soka au mpira wa miguu. Sasa hapo ni kitu gani Manara na Yanga hawaelewi?