Hivi unaelewa maana kutojihusisha?Tamasha la Yanga lilikuwa na mambo zaidi ya Mpira....
Shughuli ya Mpira ilivyoanza Haji hakujuhusisha aliondoka kuelekea kigogo ktk kazi nyingine ya Uemcii[emoji38][emoji16][emoji16]
Ikae hivyo
Kwenda uwanjani kukaa juu kuangalia/ kushangaa! ANARUHUSIWAKamati ya maadili katika kufafanua adhabu ya manara walisema anaruhusiwa
1. Kwenda uwanjani
2. Kuposti kwenye accounts zake za mitandao ya kijamii
Sasa swali linakuja mtu huyu amefungiwa kujihusisha na mpira kivipi wakati hivyo vitu ni vya kimpira?
Kwani kwenda uwanjani sio kujihusisha na soka ?. Kama ameruhusiwa kuungia uwanjani unasemaje hajajihusisha na soka ππππKwenda uwanjani kukaa juu kuangalia/ kushangaa! ANARUHUSIWA
Lakini
HARUHUSIWI
Kusherehesha kama mshereheshaji maana ni kazi ya mpira na angeweza kusema neno likaathili mpira au bodi ya ligi!
Mfano; angesema mashabiki ng'oeni viti GSM atalipaaaa! Watu wangengoa na kuharibu.
Ukifungiwa kujihusisha na SHUGHULI ZA UJENZI hutakiwi hata kumwaga zege, wala kunadi bidhaa za ujenzi hutakiwi maana hufai, inaweza KUNADI SUMU ikaathili WENGINE!
Manqra na Rais wa YANGA wana kesi ya kujibu
Kwenda kama nani? Mtazamaji au mshereheshaji?Kwani kwenda uwanjani sio kujihusisha na soka ?. Kama ameruhusiwa kuungia uwanjani unasemaje hajajihusisha na soka ππππ
Wakimuacha ataongeza dharau na uongozi utaonekana hauna maana ya kuwepo na kanuni zitaonekana hazina maana kama kwenye ndotoTFF wampotezee anatafuta airtime lakini ifike mahali Yanga wavunje ukimya wamuonye
AiseeNampeleka polisi
[emoji3][emoji3]Mke ukimpa talaka halafu akaendelea kuforce penzi huyo ni mfanya fujo