Ukipokea Ujumbe Huu wa Rais Samia Kuhusu Kesho, Usikae Nao, Sambazia na Wengine!. Kesho Kazi ni Moja Tuu!, ni Unachukua...Unaweka...!.

Sijui kama inaruhusiwa Iła jumatatu ijayo kama mods wanaruhusu nitawaletea mapicha picha ya furaha za Diaspora hasa baada ya kupewa haki ya kumiliki ardhi walipozaliwa



Samia Hoyee;

Hoyee
 
Paschal alimuuliza swali JPM mkamsifia.

Alivyowekwa kwenye kona na Bunge mkamkwepa.

Alivyopata kura moja ya maoni mkamcheka.

Hebu muacheni apambane na future yake
 
Mwanzoni nilikuwa napata shida kuelewa nyuzi zako ila Pascal shikamoo.. hahaha!
 



P,

Mnakazi kweli kweli kaka yangu. Kwa utamaduni huu wa uchaguzi wa aibu tunapoteza sana imani na chaguzi. Watanzania wameanza kukata tamaa kwa kuamini kura hazina maana.
 
Au labda hizo jumbe wanatumiwa wanachama tu wa CCM
Hata wanachama wa CCM kunatakiwa kuwe na process ya kukusanya namba na wanachama kukubali, si kila mwanachama wa CCM anataka kupata jumbe hizi.

Sasa swali bado lipo palepale, rais anapata wapi hizi namba?

Anazipataje?
 
Hata wanachama wa CCM kunatakiwa kuwe na process ya kukusanya namba na wanachama kukubali, si kila mwanachama wa CCM anataka kupata jumbe hizi.

Sasa swali bado lipo palepale, rais anapata wapi hizi namba?

Anazipataje?
Siku hizi wanachama wa CCM wanaandikishwa kielektroniki na kupewa kadi maalumu zile kama za bank katika mchakato huo wa usajili huwa wanaandika namba zao.
 
Kinachoendelea sasa JF ni husda na majungu zidi ya raisi wetu mpendwa. Yakiongozwa na genge la wahuni moderators wa JF.

Cc: Kalamu
 
Siku hizi wanachama wa CCM wanaandikishwa kielektroniki na kupewa kadi maalumu zile kama za bank katika mchakato huo wa usajili huwa wanaandika namba zao.
Sawa.

Kuandika namba maana yake si kukubali kutumiwa jumbe, unless kwenye kujiandikisha kielektroniki kuna sehemu unakubali kutumiwa jumbe.

Yani ni hivi, ukienda hospitali pia inawezekana ukawa unaandika namba, lakini unavyoandika namba pale haina maana kila kukiwa na kampeni ya hospitali wakutumie ujumbe, unless unavyoandika namba kuna sehemu unakubali specifically utumiwe ujumbe.

Huwa wanakubali kutumiwa jumbe hivyo?
 
Namba ni kwa ajili ya mawasiliano. Ukiacha namba yako ni dhahiri umekubali mawasiliano ya aina yoyote ile either kwa texts au calls. Namba yako ni namna ya wao kukufikia wewe.
 
EEEeeenHEEeeeeeh!

naelewa na kukumbuka sana mkuu 'open'!

Nilimwelewa vizuri tu toka mwanzo; lakini ilinilazimu nisimame kama nilivyo simama kwa sababu hakujuwa jinsi ya kuwasilisha komedi yake humu ili aeleweke vizuri.!
 
Wananchi wenyewe hawana muda na uchaguzi.
Kabisa, ngoja waone jinsi kesho kutakuwa na wapiga kura wachache. Tumechoka kujaza vituo kisha ccm wapore uchaguzi kujifanya wanakubalika.
 
Rais yuko juu ya sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…