Ukipokea Ujumbe Huu wa Rais Samia Kuhusu Kesho, Usikae Nao, Sambazia na Wengine!. Kesho Kazi ni Moja Tuu!, ni Unachukua...Unaweka...!.

Hakuna lolote.. Angalia context ya kinachoongelewa hapa mimi na wewe pia wewe una uhakika upi kuwa kipindi wanafanya huo usajili hawakukubaliana haya ya kutumiana jumbe za kampeni hivyo sasa ni wakati wa utekelezaji wa makubaliano hayo?
 
Haw

You have diluted sense of self due to aging factor, it's the right time to take care of your grand - childrens
 
Muktadha wa kupeana namba na ujumbe wa hiyo text vinawiana kabisa sababu ni mtu na chama chake na wanataratibu zao kama chama, lakini bado maamuzi anayo yeye mwenyewe sababu atapiga kura mwenyewe. Ila hilo ruhusa na usumbufu hapana!
Mtu kukipa chama chake namba kama sehemu ya usajili wa kadi si consent ya kutumiwa text message za campaign.

Kwa sababu kutoa namba wakati wa usajili ni automatic na text message ya campaign ni kitu cha ziada na sheria inasema consent lazima iwe explicit.

Kwa hivyo kama usajiki wa kadi hauulizi mtu kutoa consent ya twxt message, conswnt hiyo inahitajika kuombwa.

Explicit maana yake ni kuwa mtu akitoa namba wakati wa kusajili kadi haimaanishi amekubali atumiwe text message ya campaign, text message ya campaign inahitaji consent tofauti.

Ila najua inawezekana usielewe kwa sababu Tanzania si information sensitive country.
 
Hakuna lolote.. Angalia context ya kinachoongelewa hapa mimi na wewe pia wewe una uhakika upi kuwa kipindi wanafanya huo usajili hawakukubaliana haya ya kutumiana jumbe za kampeni hivyo sasa ni wakati wa utekelezaji wa makubaliano hayo?
Tatizo lako hujui kusoma kwa ufahamu.

Nimeandika mara kadhaa hoja ya unless kwenye usajili kunaombwa consent ya kutuma text message za campaign.

Mpaka nimeuliza kama kwenye usajili kuna sehemu wanaomba hii consent.

Umekosaje kuona kitu kilichoandikwa wazi kabisa?

Unajua kusoma kwa ufahamu?
 
Sawa. Watanzania kesho wajitokeze kwenda kuwapigia kura wagombea ambao wanadhani ni sahihi kwa wao kuwaongoza. Case closed!
 
Sawa. Watanzania kesho wajitokeze kwenda kuwapigia kura wagombea ambao wanadhani ni sahihi kwa wao kuwaongoza. Case closed!
Logical non sequitur. Hii wala haikuwa na contention yoyote.

Mimi nilikuwa naongelea suala la consent ya watu kutumiwa text message za campaign.
 
Mkuu si kuna nchi zilikuwa zanaitwa Sodoma na Gomola? MUNGU haziku muhusu?
Kuna vitu vya kishetani Mungu anaviona na kuviacha vitokee,hata Sodoma na Gomora,Mungu aliona akaacha, hata shetani alipomtempt Eva,Mungu aliona,tunda likachumwa,likamegwa,Adam akapelekewa akamega,yote hayo Mungu aliona na kuruhusu yatokee。
P。
 
Wewe ni ccm. Vyama mmeondoa wagombea wao. Alafu mnajifanya hakuna vyama vingi. Mbona akili za kitahaira hizi. Alafu Leo wengi hawatapiga kula zile karatasi mlizoandika mjina yetu zimefutika watu wanaenda vituoni majina hayasomeki wanaondoka. Maana mmeweka utaratibu ukaangalie jina ukiliona ndiyo uende kupiga kula. Na yamefutika.
 
Wewe chagua chama chako. Lakini faraja pekee niliyonayo moyoni ni kwamba chama chako ipo siku kitakufa lakini Tanzania itabaki. Wapambe wa chama Cha matapeli mtapita lakini Tanzania itabaki. Nawaomba watanzania wenye akili timamu tuendelee kupambana kumuondoa mkoloni mweusi. Bado nchi yetu inatawaliwa na mkoloni mweusi.
 
Kama anavyoacha ushetani wenu wa ccm kuwauwa wapinzani. Mmekua mnapanga Leo kimbau tunauwa mnaenda kwenye Basi mnamshusha mnaenda kumuuwa mnatuopa maiti au siyo. Bila hofu mnaona Kama Mungu kafa vile. Alafu uchunguzi kimyaaaaaaaaa. Mashetani wakubwa nyinyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…