Ukishabikia Simba na Yanga lazima kichwani ziwe zimepungua na umasikini lazima uwe rafiki yako

Ni kweli ila sio asilimia 100.Tupo tunaoshabikia kwa kiasi na tunajielewa.Mfano wale mashabiki wa simba waliong'oa viti inaonekana ni mambumbumbu kupindukia, uwezo wa kuchanganua mambo ni zero.Mtu mstaraabu alie elimika hawezi kung'oa viti mazingira yale. (1) Mko nyumbani na mko wengi zaidi ya walioanzisha vurugu(2) Nyinyi ndio mmeshinda (3) uwanja ni mali yenu(umma) .
 
Ismail Aden Rage alishasema, mashabiki ya Simba ni mbumbumbu!
 
Bwana żaka za Kazi MASHABIKI WA TIMU gani ni matajiri tuamie huko,?
Au unatafuta MASHABIKI WA kuamia Azam kwa nguvu
 
"Mfano Yanga ilipoingia fainali kwenye kombe la shirikisho Kuna jamaa alijirusha barabarani" Kwa hiyo na wewe ni miongoni mwa hao mapopoma. Basi wewe utakuwa ni popoma kuu kwa kuifuatilia Yanga. Ukiwa huna akili jaribu kuficha ujinga wako. Wewe ni popoma kuu.
 
Kumbuka hakuna degree ya ushabiki
 
Kuna watu wengi sana wanashabikia hizi team na wamekupita kila kitu kuanzia akili mpaka hela. Kwa hiyo kaa kwa kutulia acha kujikuta perfect
Kama kawaida mnaoendelea kujitokeza nilishasema mashabiki wa hizi timu kichwani zimepungua hivyo sikushangai
 
Kama kawaida mnaoendelea kujitokeza nilishasema mashabiki wa hizi timu kichwani zimepungua hivyo sikushangai
Sisi kama zimepungua we ndo hazipo kabisa. Tulikuwa na watu kama wewe na saizi tuko nao tunashabikia suala la mda tu kaa kwa kutulia
 
MIMI PIA NIMEWAAMBIA SANA VIJANA HILO SUALA.

ILA NILIWAAMBIA KUSHABIKIA SANAAAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…