Ukishafika umri wa 35+ kuna sehemu za starehe achana nazo

Na uzee wangu huu bana imenikuta juzi hapa na katoto flan ka-nurse
 
Sio umri wa kumfiksha mwanamke hii nimeipenda
 
Tayari huko..... Kama yaliyowakuta Azam Jana na mauno ya Fei 😁😁😁
 
Nikifika hiyo age ntakuwa naenda live band au najijengea bar yangu napiga nyimbo za Fally na Fere gola na baba yao koffi
Ile miziki km huna hela huwezi kuielewa mazee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚
umenichekesha, nasoma hii comment huku naskiza zangu Maria PM ya Fally..!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚
umenichekesha, nasoma hii comment huku naskiza zangu Maria PM ya Fally..!!
πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukimaliza hiyo weka Mayday huku una ka glass kako ka wine pembeni ahh kananogaje.!

Mi napenda live band mwenzio, hapa napambana nizae katoto kamoja ili nisipate kero ya kuulizwa unazaa lini?? Najua ndoa sina mpango nayo 🀣🀣🀣
 
Yaaani Mayday siku ya kwanza tu naiskia niliiweka repeat mpaka ikajuta,
Hebu weka zako science fiction hapo u enjoy jioni yako..!!

kwenye jamii yetu usipoolewa una kasoro,

W.O.L.O, hivyo enjoy to the fullest..!!
 
Mi waseme had wachoke siwezi kuolewa ili mradi nimeolewa nifurahishe walimwengu.!!

Fally nyimbo zake zote ni hit song, nikijisikia kuruka naweka Nzoto
 
Mi waseme had wachoke siwezi kuolewa ili mradi nimeolewa nifurahishe walimwengu.!!

Fally nyimbo zake zote ni hit song, nikijisikia kuruka naweka Nzoto
πŸ˜‚πŸ˜‚
Hivi wifi siku zote unanichekea hapa kumbe wewe ni Kataa Ndoa Pro Max..!??

Hebu ngoja nikaruke na hiyo nzoto kwanza.. 🎡 🎢
 
Mzee umefanana na Evanda Holyfield
 
Oleweni nyie acheni kuwabania vijana.
 
Ukifikisha umri huo na bado huna hela je ufanyeje?

Acha kupangua watu namna ya kuisi.
 
Ili mradi simu ni ya kwako na bundle la kwako hatuwezi kukuamria cha kuandika, lakini ukweli ni kwamba umri wa miaka 35+ hujui lolote kuhusu maisha! Maisha ni uwanja mpana sana! Kuanzia 55+ ndo mtu wa kuongea akasikilizwa!
Ukweli huko hapa, 35 bado mtu anaangaika na kodi ya mwenye nyumba.
 
Mi kanisani au kwenye mkusanyiko wa kutofautisha umri nikienda kwa wazee narudishwa kwa vijana nikija kwa vijana naambiwa ni wa kule kwa wazee hata sielewi 46 ukiongeza na mwili ulivyo nachukia sana kuitwa dogo ila wanaonijua wananiheshim.

Nilimwambia dem 1 huyu ni mdogo wetu wa mwisho akajaa kumbe mwanangu, ni wapi nakosea au nisivae jeans na T-shirt?
Japo sina suruali ya kitambaa wala kadet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…