Ukishindanisha Kaburi la Magufuli dhidi ya mwanasiasa yeyote nchini kwenye uchaguzi wa Rais bado watanzania watachagua kaburi

Usiruhusu Ibilisi atumie mawazo Yako. WATAKATIFU hawaishi kaburini, kaburi ni LANGO la KUZIMU. Watanzania Hawezi fanya maamuzi ya MASHETANI.
Naona wewe ni mmja wa watu ambao haujanielewa nina maanisha nini ninaposeama "kaburi la Magufuli". Soma hapa:

Kuna watu hawajaelewa, tunaposema kushindanishwa na kaburi la Magufuli, tunamaanisha sera zake, utendaji wake, uchapa kazi wake, uzalendo wake na mapenzi yake kwa ujumla kwa watanzania na Taifa letu! Maana kwa sasa yuko kaburini na wanasiasa uchwara wanajaribu bila mafanikio kuponda sera zake, utendaji wake, uchapa kazi wake, uzalendo wake nk!! Hadi sasa hakuna aliyeonesha dalili za kuweza kuvivaa viatu vya Magufuli!!
 
Misukule ya JPM ndio inaweza kuzungumza hivi.
Kuna watu hawajaelewa, tunaposema kushindanishwa na kaburi la Magufuli, tunamaanisha sera zake, utendaji wake, uchapa kazi wake, uzalendo wake na mapenzi yake kwa ujumla kwa watanzania na Taifa letu! Maana kwa sasa yuko kaburini na wanasiasa uchwara wanajaribu bila mafanikio kuponda sera zake, utendaji wake, uchapa kazi wake, uzalendo wake nk!! Hadi sasa hakuna aliyeonesha dalili za kuweza kuvivaa viatu vya Magufuli!!
 
Tuchague kaburi ili tuongozwe na mizimu?
 
Heri wafu wafao katika Bwana, alaaniwe mtu yule anayeabudu mizimu.
 
Nimekaririshwa kitu nilichokiona kwa macho? Au unadhani kila mtu ni wa kusubiri kulishwa cha kusema kama wewe?
Kwa macho yako umeona yafuatayo: Reli standard gauge ikijengwa, Bwa la kufua umeme la mwalimu Nyerere likijengwa (Stigler's Gorge), Makao makuu yakihamia Dodoma!! Hii miradi mikubwa ilikuwa imeshindikana kwa miaka mingi na wengi walidhani isingewezekana!! Unaweza kukataa kwa maneno lakini macho yako yameshuhudia!
 
Heri wafu wafao katika Bwana, alaaniwe mtu yule anayeabudu mizimu.
Kuna watu hawajaelewa, tunaposema kushindanishwa na kaburi la Magufuli, tunamaanisha sera zake, utendaji wake, uchapa kazi wake, uzalendo wake na mapenzi yake kwa ujumla kwa watanzania na Taifa letu! Maana kwa sasa yuko kaburini na wanasiasa uchwara wanajaribu bila mafanikio kuponda sera zake, utendaji wake, uchapa kazi wake, uzalendo wake nk!! Hadi sasa hakuna aliyeonesha dalili za kuweza kuvivaa viatu vya Magufuli!! Hapa hatuzungumzii mizimu!!
 
Huu ni ujinga Tanganyika ilianza kujengwa tangu enzi za Mjerumani hadi sasa ni mwendelezo tu hakuna cha ajabu hapo.
 
Sera gani za usukuma usukuma eti?
 
Unataka uone uzalendo na walichofanya hao wengine kwani kila mtu amewahi kuwa rais wa nchi hii? Magufuli alionekana kwakuwa alikuwa kwenye madaraka, tuonyeshe alichofanya kabla hajapata madaraka akiwa huko Chato.
 
Rabish!!!
Unafikiria nini kuamini kuwa watu watachagua kaburi? Watu ni wajinga hivyo? Si kweli!!!

Fikiria positive acha haya mambo
 
Utakuwa ni chizi kuchagua kaburi. Inabidi tu upelekwe Mirembe ukatibu ugonjwa wa KICHAA.
 
Kazikwe naye na wewe.

Zito kabwe njoo huku
Huyu unayemwita ndo kabisaaa ukumshindanisha na "kaburi" la Magufuli anapigwa chini mapema asubuhi!!
Kuna watu hawajaelewa, tunaposema kushindanishwa na kaburi la Magufuli, tunamaanisha sera zake, utendaji wake, uchapa kazi wake, uzalendo wake na mapenzi yake kwa ujumla kwa watanzania na Taifa letu! Maana kwa sasa yuko kaburini na wanasiasa uchwara wanajaribu bila mafanikio kuponda sera zake, utendaji wake, uchapa kazi wake, uzalendo wake nk!! Hadi sasa hakuna aliyeonesha dalili za kuweza kuvivaa viatu vya Magufuli!!
 
Rabish!!!
Unafikiria nini kuamini kuwa watu watachagua kaburi? Watu ni wajinga hivyo? Si kweli!!!

Fikiria positive acha haya mambo

Kuna watu hawajaelewa, tunaposema kushindanishwa na kaburi la Magufuli, tunamaanisha sera zake, utendaji wake, uchapa kazi wake, uzalendo wake na mapenzi yake kwa ujumla kwa watanzania na Taifa letu! Maana kwa sasa yuko kaburini na wanasiasa uchwara wanajaribu bila mafanikio kuponda sera zake, utendaji wake, uchapa kazi wake, uzalendo wake nk!! Hadi sasa hakuna aliyeonesha dalili za kuweza kuvivaa viatu vya Magufuli!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…