Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Umekaririshwa na mafisadi!! hakuna kitu kama hicho!!
Nimekaririshwa kitu nilichokiona kwa macho? Au unadhani kila mtu ni wa kusubiri kulishwa cha kusema kama wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekaririshwa na mafisadi!! hakuna kitu kama hicho!!
Naona wewe ni mmja wa watu ambao haujanielewa nina maanisha nini ninaposeama "kaburi la Magufuli". Soma hapa:Usiruhusu Ibilisi atumie mawazo Yako. WATAKATIFU hawaishi kaburini, kaburi ni LANGO la KUZIMU. Watanzania Hawezi fanya maamuzi ya MASHETANI.
Kuna watu hawajaelewa, tunaposema kushindanishwa na kaburi la Magufuli, tunamaanisha sera zake, utendaji wake, uchapa kazi wake, uzalendo wake na mapenzi yake kwa ujumla kwa watanzania na Taifa letu! Maana kwa sasa yuko kaburini na wanasiasa uchwara wanajaribu bila mafanikio kuponda sera zake, utendaji wake, uchapa kazi wake, uzalendo wake nk!! Hadi sasa hakuna aliyeonesha dalili za kuweza kuvivaa viatu vya Magufuli!!Misukule ya JPM ndio inaweza kuzungumza hivi.
Tuchague kaburi ili tuongozwe na mizimu?Watanzania walio wengi walimkubali sana Magufuli. Magufuli aliwafungua macho watanzania, Wanasiasa walikuwa wanatudanganya kuwa nchi yetu ni maskini ili kuhalalisha wizi na ufisadi wao. Wengi wa wanaomchukia Magufuli ni mafisadi na familia zao. Ni wale ambao hawakupata kabisa fursa ya kuendelea kujifanya miungu watu kwenye ofisi za umma na wakwepa kodi. Mtu ulikuwa ukiingia ofisi ya umma unapokelewa na kuhudumiwa kwa heshima. Sasa hivi miungu watu wamerudi kwa kasi maofisini.
Lakini pia Magufuli alituongoza vizuri sana kwenye vita dhidi ya corona. Wakati wa Magufuli mabeberu hawakupata kabisa fursa ya kutumia corona kutunyonya! Chanjo za corona zisizo na sifa ya kuitwa chanjo (maana hazimkingi mtu na corona) hazikupata nafasi kabisa nchini mwetu! Hatimaye Dunia imekubali kile ambacho Magufuli alikiona mwanzo kabisa kuwa Dunia inabidi ijifunze kuishi pamoja na corona kama ilivyo kwa magonjwa mengine! Watanzania tulio wengi huwezi kutuambia kitu kuhusu Magufuli!! Tunampenda!! Tunamkubali!!! Ni mchapa kazi!! Ameacha alama isiyofutika: SGR, STIGLER'S GEORGE, MAKAO MAKUU DODOMA!!
Haya yote yalikuwa kama ndoto ya mchana isiyotekelezeka kabla ya Magufuli!! Lakini Chini ya Magufuli yote yamewezekana tena kwa muda mfupi!!! Ukimpiga vita Magufuli ni kutwanga maji kwenye kinu!!! Hata ukishindana na kaburi lake atakutoa knock out!
Heri wafu wafao katika Bwana, alaaniwe mtu yule anayeabudu mizimu.Watanzania walio wengi walimkubali sana Magufuli. Magufuli aliwafungua macho watanzania, Wanasiasa walikuwa wanatudanganya kuwa nchi yetu ni maskini ili kuhalalisha wizi na ufisadi wao. Wengi wa wanaomchukia Magufuli ni mafisadi na familia zao. Ni wale ambao hawakupata kabisa fursa ya kuendelea kujifanya miungu watu kwenye ofisi za umma na wakwepa kodi. Mtu ulikuwa ukiingia ofisi ya umma unapokelewa na kuhudumiwa kwa heshima. Sasa hivi miungu watu wamerudi kwa kasi maofisini.
Lakini pia Magufuli alituongoza vizuri sana kwenye vita dhidi ya corona. Wakati wa Magufuli mabeberu hawakupata kabisa fursa ya kutumia corona kutunyonya! Chanjo za corona zisizo na sifa ya kuitwa chanjo (maana hazimkingi mtu na corona) hazikupata nafasi kabisa nchini mwetu! Hatimaye Dunia imekubali kile ambacho Magufuli alikiona mwanzo kabisa kuwa Dunia inabidi ijifunze kuishi pamoja na corona kama ilivyo kwa magonjwa mengine! Watanzania tulio wengi huwezi kutuambia kitu kuhusu Magufuli!! Tunampenda!! Tunamkubali!!! Ni mchapa kazi!! Ameacha alama isiyofutika: SGR, STIGLER'S GEORGE, MAKAO MAKUU DODOMA!!
Haya yote yalikuwa kama ndoto ya mchana isiyotekelezeka kabla ya Magufuli!! Lakini Chini ya Magufuli yote yamewezekana tena kwa muda mfupi!!! Ukimpiga vita Magufuli ni kutwanga maji kwenye kinu!!! Hata ukishindana na kaburi lake atakutoa knock out!
Sera gani za ukabila kabila na utekaji siyo?Maana yake ni kwamba bado sera za Magufuli zinakubalika kuliko za mwanasiasa yeyote hapa nchini.
Kwa macho yako umeona yafuatayo: Reli standard gauge ikijengwa, Bwa la kufua umeme la mwalimu Nyerere likijengwa (Stigler's Gorge), Makao makuu yakihamia Dodoma!! Hii miradi mikubwa ilikuwa imeshindikana kwa miaka mingi na wengi walidhani isingewezekana!! Unaweza kukataa kwa maneno lakini macho yako yameshuhudia!Nimekaririshwa kitu nilichokiona kwa macho? Au unadhani kila mtu ni wa kusubiri kulishwa cha kusema kama wewe?
Kuna watu hawajaelewa, tunaposema kushindanishwa na kaburi la Magufuli, tunamaanisha sera zake, utendaji wake, uchapa kazi wake, uzalendo wake na mapenzi yake kwa ujumla kwa watanzania na Taifa letu! Maana kwa sasa yuko kaburini na wanasiasa uchwara wanajaribu bila mafanikio kuponda sera zake, utendaji wake, uchapa kazi wake, uzalendo wake nk!! Hadi sasa hakuna aliyeonesha dalili za kuweza kuvivaa viatu vya Magufuli!! Hapa hatuzungumzii mizimu!!Heri wafu wafao katika Bwana, alaaniwe mtu yule anayeabudu mizimu.
Mfu anayeishi na siyo mfu anayeliwa na mchwa pamoja na funza.
Umekaririshwa na mafisadi kitu ambacho hakipo!!Sera gani za ukabila kabila na utekaji siyo?
Huu ni ujinga Tanganyika ilianza kujengwa tangu enzi za Mjerumani hadi sasa ni mwendelezo tu hakuna cha ajabu hapo.Kwa macho yako umeona yafuatayo: Reli standard gauge ikijengwa, Bwa la kufua umeme la mwalimu Nyerere likijengwa (Stigler's Gorge), Makao makuu yakihamia Dodoma!! Hii miradi mikubwa ilikuwa imeshindikana kwa miaka mingi na wengi walidhani isingewezekana!! Unaweza kukataa kwa maneno lakini macho yako yameshuhudia!
Sera gani za usukuma usukuma eti?Kuna watu hawajaelewa, tunaposema kushindanishwa na kaburi la Magufuli, tunamaanisha sera zake, utendaji wake, uchapa kazi wake, uzalendo wake na mapenzi yake kwa ujumla kwa watanzania na Taifa letu! Maana kwa sasa yuko kaburini na wanasiasa uchwara wanajaribu bila mafanikio kuponda sera zake, utendaji wake, uchapa kazi wake, uzalendo wake nk!! Hadi sasa hakuna aliyeonesha dalili za kuweza kuvivaa viatu vya Magufuli!! Hapa hatuzungumzii mizimu!!
Habari ndiyo hiyo!! Wametuchosha hawa wasiasa uchwara kila siku wanamtukana na kumpaka matope Magufuli wakati wenyewe hawana lolote na hakuna wanachoweza kutuonesha kama alama ya uzalendo wao kwa nchi yetu!! Tumenyamaza hadi hatuwezi kunyamaza tena!! Ndani ya Miaka mitano, Magufuli ametuongoza na kufanya maendeleo makubwa na kuwezesha yale yaliyokuwa yanaonekana kuwa hayawezekani kama vile KUHAMISHIA MAKAO MAKUU DODOMA, KUANZA KUJENGA RELI STANDARD GAUGE (SGR), KUANZA UJENZI WA BWAWA LA MWALIMU NYERERE LA KUFUA UMEME (STIGLER'S GEORGE), FLY OVERS etc.
Wanaomlilia ni Sukuma gang,wasiojulikana,Makonda,Sabaya,Musiba,Lusinde na Ndugai.Ukichukua utafiti wa kina usiokuwa na upendeleo, wengi wanamlilia JPM. Pumzika mahali pena baba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rabish!!!Watanzania walio wengi walimkubali sana Magufuli. Magufuli aliwafungua macho watanzania, Wanasiasa walikuwa wanatudanganya kuwa nchi yetu ni maskini ili kuhalalisha wizi na ufisadi wao. Wengi wa wanaomchukia Magufuli ni mafisadi na familia zao. Ni wale ambao hawakupata kabisa fursa ya kuendelea kujifanya miungu watu kwenye ofisi za umma na wakwepa kodi. Mtu ulikuwa ukiingia ofisi ya umma unapokelewa na kuhudumiwa kwa heshima. Sasa hivi miungu watu wamerudi kwa kasi maofisini.
Lakini pia Magufuli alituongoza vizuri sana kwenye vita dhidi ya corona. Wakati wa Magufuli mabeberu hawakupata kabisa fursa ya kutumia corona kutunyonya! Chanjo za corona zisizo na sifa ya kuitwa chanjo (maana hazimkingi mtu na corona) hazikupata nafasi kabisa nchini mwetu! Hatimaye Dunia imekubali kile ambacho Magufuli alikiona mwanzo kabisa kuwa Dunia inabidi ijifunze kuishi pamoja na corona kama ilivyo kwa magonjwa mengine! Watanzania tulio wengi huwezi kutuambia kitu kuhusu Magufuli!! Tunampenda!! Tunamkubali!!! Ni mchapa kazi!! Ameacha alama isiyofutika: SGR, STIGLER'S GEORGE, MAKAO MAKUU DODOMA!!
Haya yote yalikuwa kama ndoto ya mchana isiyotekelezeka kabla ya Magufuli!! Lakini Chini ya Magufuli yote yamewezekana tena kwa muda mfupi!!! Ukimpiga vita Magufuli ni kutwanga maji kwenye kinu!!! Hata ukishindana na kaburi lake atakutoa knock out!
Utakuwa ni chizi kuchagua kaburi. Inabidi tu upelekwe Mirembe ukatibu ugonjwa wa KICHAA.Watanzania walio wengi walimkubali sana Magufuli. Magufuli aliwafungua macho watanzania, Wanasiasa walikuwa wanatudanganya kuwa nchi yetu ni maskini ili kuhalalisha wizi na ufisadi wao. Wengi wa wanaomchukia Magufuli ni mafisadi na familia zao. Ni wale ambao hawakupata kabisa fursa ya kuendelea kujifanya miungu watu kwenye ofisi za umma na wakwepa kodi. Mtu ulikuwa ukiingia ofisi ya umma unapokelewa na kuhudumiwa kwa heshima. Sasa hivi miungu watu wamerudi kwa kasi maofisini.
Lakini pia Magufuli alituongoza vizuri sana kwenye vita dhidi ya corona. Wakati wa Magufuli mabeberu hawakupata kabisa fursa ya kutumia corona kutunyonya! Chanjo za corona zisizo na sifa ya kuitwa chanjo (maana hazimkingi mtu na corona) hazikupata nafasi kabisa nchini mwetu! Hatimaye Dunia imekubali kile ambacho Magufuli alikiona mwanzo kabisa kuwa Dunia inabidi ijifunze kuishi pamoja na corona kama ilivyo kwa magonjwa mengine! Watanzania tulio wengi huwezi kutuambia kitu kuhusu Magufuli!! Tunampenda!! Tunamkubali!!! Ni mchapa kazi!! Ameacha alama isiyofutika: SGR, STIGLER'S GEORGE, MAKAO MAKUU DODOMA!!
Haya yote yalikuwa kama ndoto ya mchana isiyotekelezeka kabla ya Magufuli!! Lakini Chini ya Magufuli yote yamewezekana tena kwa muda mfupi!!! Ukimpiga vita Magufuli ni kutwanga maji kwenye kinu!!! Hata ukishindana na kaburi lake atakutoa knock out!
Huyu unayemwita ndo kabisaaa ukumshindanisha na "kaburi" la Magufuli anapigwa chini mapema asubuhi!!Kazikwe naye na wewe.
Zito kabwe njoo huku
Rabish!!!
Unafikiria nini kuamini kuwa watu watachagua kaburi? Watu ni wajinga hivyo? Si kweli!!!
Fikiria positive acha haya mambo