Sahihi hiyo barabara huwa inajengwa tu miaka yote, Itakuwa kuna namna mkandarasi na watu wake wanafaidika na huo ucheleweshwaji,Barabara ya kwenda Julius Nyerere airport (kakipande kadogo) sijui ina miaka mingapi haiishi. Na ile ndio reception ya nchi yetu. Wageni wote wakitua tu wanapita hapo. Viongozi wote wa nchi including Rais anapita hapo mara kwa mara. Sijui kile kipande kinashindikana nini?! Kwa kweli tunatia aibu!
Kwenu Mbalizi sio mabanda??Jidanganye ,endelea kukaa kwenye mabanda huko Mjini ukijifariji.
Ni kweli Wakoloni wakati wanaondoka waliacha Master plan ya Dar es Salaam Waswahili waliorithi nchi wakaitelekeza?Yote maisha.
Yeah.Ni kweli Wakoloni wakati wanaondoka waliacha Master plan ya Dar es Salaam Waswahili waliorithi nchi wakaitelekeza?
Si kila mzungu ni tajiriNa huyo Mgeni mwenyewe ana pesa!? Siyo kaja kuchuma,wakati sisi tunaamini kwenye falasafa ya Mgeni njoo mwenyeji apone!!
Hakuna ujinga kama huo wa Dar.Kwenu Mbalizi sio mabanda??
Dar es Salaam wameshachelewa, wajitahidi tu Dodoma na mikoa mingine isigeuke shaghalabaghala kama Dar.Huu uzi ungekua unaambatana na picha ingependeza zaidi,
Huenda wahusika wangeona na kuchukua hatua kwa baadhi ya issue.
anataka kufananisha sura za watu wanaokula sangara na sato na ugali mkubwa, na sura za watu wanaoshindia kipande cha mhogo.Kabisa mkuu ile kanda angalau sura za watu zinamatumaini kuliko watu wa pwani.
Ukiwa mzalendo hauwezi kuchukua Mali ya umma na kujinufaisha, Nyerere na sokoine walipinga sana.Sijui uzalendo Huwa unapatikanaje lakini pia kati ya matatizo mengi ya jamii yetu ni ubinafsi , yaani jambo la kunufaisha Umma sio kipaombele kushinda jambo binafsi.
Ndio hali yenyewe laana inaisumbua nchi.Yaani kama ulitoka nje ukashuka airport Dar miaka 8 iliyopita, ukashuka miaka mitano iliyopita na ukashuka leo, unakutana na barabara ni lami siyo lami, vumbi tupu, makorongo matupu, mitaro ya waziwazi iliyojaa maji machafu, yaani kanchi kamechoka kamechoka kwelikweli. Hivi nyie watawala mnaoshinda kwenye ndege kila kukicha u.
Pia soma
- Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?
Kinachofikirisha zaidi makandarasi wapo busy kupiga kampeni ya kununua chopper ya 10B na mafuta yake!TANROADs wako wapi? Mitaro hawauoni?
Kule Arusha kitovu cha utalii wageni na wenyeji wanasongamana kwenye barabara inayopita soko la Kilombero.Kanchi kamechoka Mbaya.
Sijui watawala wanajisikiaje wanavyotumbua mikodi ya wabongo huku Kanchi kakiwa hoi
Nape ni waziri wa nini?Sasa Nape ndiyo Waziri, yaani Nape; ata--achieve niNI?
Ngoja nilale nisije nikamtukana mtu hapa kesho mkasikia nimeokotwa huko maporiniWatawala wanawaza siasa tu, siasa tu.
Mimi hayo mabati yenye kutu tu!Ningesema mimi baadhi ya watu wangeona nina madharau! Nafurahi kuona si mimi tu ninayekereka na hiyo hali!
View attachment 3057843
View attachment 3057844
Yes, they are eyesores.Mimi hayo mabati yenye kutu tu!
Dar es salaam ingekuwa na nyumba za maghorofa ya ghorofa 4 mpaka 5 kwa sehemu kubwa, ingechukua sehemu kama robo ya mji wa sasa.