ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kaongee jukwaa la Dar vs Nairobi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂Kama hauna michongo ya hela NI kama upo moton
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaongee jukwaa la Dar vs Nairobi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂Kama hauna michongo ya hela NI kama upo moton
Tuna matatizo mengi sana lakini kubwa NJ kukosa mipango sahihi,watu sahihi wa kutekeza na jamii kukubaliana kwenda kwa.njia hiyo thus why hatutoi nafasi Kwa watu wenye akili kushika hatamu.Yaani huhitaji kujua kuwa hii nchi haina uongozi. Just shuka na ndege tu pita barabara kuu , kisha utaona haka ka nchi kalivyofanywa useless hopeless kabisa kwa uongozi mbovu usiojua unatakiwa kufanya nini.
Hivi ukiwa kiongozi halafu unaongoza kanchi kachafu, kamechoka namna hii, kana watu wamekondakonda halafu dhaifu dhaifu, unajiona ufahari gani kwa mfano?
Sijui uzalendo Huwa unapatikanaje lakini pia kati ya matatizo mengi ya jamii yetu ni ubinafsi , yaani jambo la kunufaisha Umma sio kipaombele kushinda jambo binafsi.Niliona Kwenye tv mayor wa mji Mdogo wa California analia machozi Kwasababu tu nyumba na mali za raia wake anaowaongoza zimewaka moto nikagundua Siri ya mafanikio ya nchi za ngozi nyeupe ni uzalendo !
Nilienda Mwanza Airport Road yaani Jiji Zima linanuka.shombo ya Samaki 😆😆😆😆Huko mbali, ukishuka tu DSM pale pale airport unakutana na harufu moja ya ajabu. Mji mzima unanuka.
Miviongozi inaona fahari kuendesha msafara wa v8 kwenye mashimo badala ya kurekebisha barabara. Inaenda nje kupiga picha tu na kushangaa haijifunzi chochote kile.
Sio tuu usafi hakuna tunachojali,ukivuka Nchi jirani hapo Malawi au Zambia nk Wana maisha organized na makazi Yao na vitu Vyao viko well planned.Tuendelee kupata aibu hivyohivyo, Kwa kuwa sisi ni jamii isiyo jali kwenye suala la usafi
Nchi imechoka sana hii, mleta mada yupo sahihi 100%
Hii Nchi inatia aibu,yaani Halmayzimwshindwa kuajiri kampuni za usafi ili Kusafisha mitaro ,Barabara nk.Eti Kanchi kamechoka😁
Nyiee
Wakati huyo mtu anafanya mipango ya kujenga, anaweka tofali, anachimba msingi, anaanza ujenzi..serikali ya mtaa/kijiji inakuwa wapi?Lucas ndio mwenye dhamana ya kujenga hii Nchi na nyie mnakuwa mnafanya nini?
Kwanza mipango ya Nchi hii Huwa haiko coercive yaani ni Bora liende.Mfano unakuta mtu anajua hii ni Barabara anatakiwa asimike Bomba za maji ila hafuati usahihi unatakiwa ndio maana unakuta mradi ukianzanaanza kuingia gharama zingine za kuhamishwa miundombinu ambayo ilitakiwa kuwa imewekwa sehemu inapostahili ila hawakufanya hivyo.
Korea kaskazini nayo ni nchi yenye ubora mkubwa ? au ulimaanisha korea kusiniHali hii ni tofauti kwa nchi zilizo endelea zenye ubora mkubwa kuliko Tanzania mfano China,Vietnam na Korea kaskazini
Nakumbuka niko kituo cha Palm Beach nasubiri chai maharage “Kabibii” niende home mara huyo Michael Jackson anapita katoa kichwa kwenye open roof amevaa mask yake na bado kaziba mdomo na mkono 😀Michael Jackson alikuja Dar akawa anajishika pua, tukaona huyu anaringa tu.
Kumbe ike harufu tulikuwa tumeizoea tu.
Kazi si lazima iwe ajira mkuu.Hongera sana
Komaa na ajira mzee baba
Hilo suala la jamii watu wengi hawalioni au wanalifumbia macho.Tanzania hii ni Nchi ya shaghalabaghala ambayo jamii yake haijali,haithamini Wala haijitambui.
Swala sio viongozi Baki aina ya jamii ambayo haiana Ustaarabu ndio matokeo yake haya sasa.
Athari za ujamaa na uswahili zitatutafuna sana.
Nilisikitika kuona Jamaa mmja wa Burundi anajenga apartments nzuri sana kule Bujumbura nikalinganisha na vile vijumba vya Iyumbu Dom nikajua tuna Nchi ya hovyo sana.
Mkuu,Wewe jamaa unazingua kwaiyo kweli mtu akitoka AIRPORT anakutana na vumbi your just wale watu waliotokea familia za kimaskini halafu wakapata ela MWALIMU NYERERE AIRPORT iko vizuri acha ujinga na upuuzi wako