Kasome ilani ya chamq Kwanza ndio urudi hapaMleta mada upo sahihi kabisa na utaeleweka zaidi na watu wanaotoka nje na kurudi,
inasikitisha sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasome ilani ya chamq Kwanza ndio urudi hapaMleta mada upo sahihi kabisa na utaeleweka zaidi na watu wanaotoka nje na kurudi,
inasikitisha sana.
Botha amezaliwa katika Jimbo la Free State nchini Afrika ya Kusini, Uholanzi inamhusu Nini?Angeenda kujenga kwao uholanzi,kiliwapeleka kipi hapo?..walipofika hawakukuta social order?!
Wewe uliyeisoma,sema unachotaka kukisema ili ueleweke unataka kusema kitu gani.Kasome ilani ya chamq Kwanza ndio urudi hapa
Ndiyo maana unamshabikia,kichwani u mtupu,bichwa zitoBotha amezaliwa katika Jimbo la Free State nchini Afrika ya Kusini, Uholanzi inamhusu Nini?
Ukweli mchungu daima huwa una kawaida ya kuchoma Sana moyoni.Ndiyo maana unamshabikia,kichwani u mtupu,bichwa zito
Yule jamaa watu wengi hatumpendi kwa sababu hakuona haya kuusema ukweli, miaka sitini ya uhuru tumefanya Nini Cha maana.....!Ukweli mchungu daima huwa una kawaida ya kuchoma Sana moyoni.
Ni kweli kabisa, Rais Pieter Botha Kamwe hakuwa mtu mnafiki katika kusema ukweli mchungu, hususani kuhusiana na Watu Weusi. Kamwe alikuwa hatafuni maneno linapokuja suala la kuwasema Watu Weusi na Mapungufu yao makubwa.Yule jamaa watu wengi hatumpendi kwa sababu hakuona haya kuusema ukweli, miaka sitini ya uhuru tumefanya Nini Cha maana.....!
Wengine ni Hawa hapa ambao mnawajengea Sgr 😂😂👇👇Yaani kama ulitoka nje ukashuka airport Dar miaka 8 iliyopita, ukashuka miaka mitano iliyopita na ukashuka leo, unakutana na barabara ni lami siyo lami, vumbi tupu, makorongo matupu, mitaro ya waziwazi iliyojaa maji machafu, yaani kanchi kamechoka kamechoka kwelikweli. Hivi nyie watawala mnaoshinda kwenye ndege kila kukicha mnnaenda kwenye nchi za watu huwa hamuoni huko kwa wenzenu kukoje?
Yaani just imagine, barabara ya mwanzo ambayo wageni wanapita kabla hawajaenda popote nchini wanakutana na kituko cha barabara ile. First impression inayopatikana hapo ni ya kanchi masikini ka watu masikini, ka viongozi hopeless!
Yaani hako kabarabara kako hivyohivyo miaka nenda rudi pachovu choka mbaya, yaani vagalanti hovyohovyo.
Nyie watawala mnatutia aibu, mnajionaje fahari kuwa viongozi msioweza kudeal na issues ndogo namna hiyo kama hiyo ya kuipa nchi "reception" ya maana?
Kwa kweli aibu naona mimi.
Miviongozi kazi kujilimbikizia mali, kutwa kucha kwenye ndege, misafara ya mamia ya magari, lakini barabara tu ya airport wanayopita daily kwenda huko nje ya nchi kuuza sura imewashinda!. Sijui hii mijitu ikoje?
Kila siku ukipita maendo hayo unakutana na miradi uchwara as if wanajenga, lakini miaka yote huo ujenzi huwa hauishi, ni magumashi, hakuna lolote la maana linaloonekana!. Yaani choka mbaya choka mbaya, hovyo hovyo kabisa!.
Nyie viongozi wa nchi hii badilikeni. Incompentency yenu ndo inatufanya sisi huko duniani tuonekane kama nyani tu. Nchi zina marasilimali kibao halafu unakutana na kinchi kimechokaaa. Hii inakuwaje.
Yaani unapita barabarabani pembeni unakutana na mamitaro makubwaaa hayajafunikwa ambayo kwanza ukifuatilia vizuri hayana exit ya mitoni wala sewage system yoyote ya maana, yaani yapo ceremonial tu.
Mamitaro makubwa hayajafunikiwa na yamekaa kama mahandaki ya vita kuu ya kwanza ya dunia. Hivi hawa wenye dhamana ya utawala wakienda huko kwa wenzetu wanajifunza chochote kweli?.
Achilia mbali hilo. Ukishuka airport njiani unakutana na wabongo wamechoka mbaya, hali ngumu, wamekonda, wameweka vimizigo vyao barabarani masikini wanahustle. Hii iko hivyo miaka nenda rudi. Wakati huo kuna watu wanaitafuna nchi hii kwa kula na kusaza. Ni lini wansnchi wataanza kula matunda na mema ya nchi?. Watawala wanawaza siasa tu, siasa tu.
Pia soma
- Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?
Una umri gani!?Yule jamaa watu wengi hatumpendi kwa sababu hakuona haya kuusema ukweli, miaka sitini ya uhuru tumefanya Nini Cha maana.....!
Nilishasema yote maisha tu.Yes, they are eyesores.
But, what are people to do? Hali ya uchumi ni mbaya siku zote halafu inakuwa compounded na jamii kwa ujumla kutokupenda vitu vizuri.
Kuna mambo mengi tu ambayo hayahitaji hela nyingi lakini utashangaa kwa nini hayafanyiki!
Maendeleo hayaji mara moja na ni utekelezaji wa vipaumbele vinavyowekwa kwenye ilani za uchaguzi.Yaani kama ulitoka nje ukashuka airport Dar miaka 8 iliyopita, ukashuka miaka mitano iliyopita na ukashuka leo, unakutana na barabara ni lami siyo lami, vumbi tupu, makorongo matupu, mitaro ya waziwazi iliyojaa maji machafu, yaani kanchi kamechoka kamechoka kwelikweli. Hivi nyie watawala mnaoshinda kwenye ndege kila kukicha mnnaenda kwenye nchi za watu huwa hamuoni huko kwa wenzenu kukoje?
Yaani just imagine, barabara ya mwanzo ambayo wageni wanapita kabla hawajaenda popote nchini wanakutana na kituko cha barabara ile. First impression inayopatikana hapo ni ya kanchi masikini ka watu masikini, ka viongozi hopeless!
Yaani hako kabarabara kako hivyohivyo miaka nenda rudi pachovu choka mbaya, yaani vagalanti hovyohovyo.
Nyie watawala mnatutia aibu, mnajionaje fahari kuwa viongozi msioweza kudeal na issues ndogo namna hiyo kama hiyo ya kuipa nchi "reception" ya maana?
Kwa kweli aibu naona mimi.
Miviongozi kazi kujilimbikizia mali, kutwa kucha kwenye ndege, misafara ya mamia ya magari, lakini barabara tu ya airport wanayopita daily kwenda huko nje ya nchi kuuza sura imewashinda!. Sijui hii mijitu ikoje?
Kila siku ukipita maendo hayo unakutana na miradi uchwara as if wanajenga, lakini miaka yote huo ujenzi huwa hauishi, ni magumashi, hakuna lolote la maana linaloonekana!. Yaani choka mbaya choka mbaya, hovyo hovyo kabisa!.
Nyie viongozi wa nchi hii badilikeni. Incompentency yenu ndo inatufanya sisi huko duniani tuonekane kama nyani tu. Nchi zina marasilimali kibao halafu unakutana na kinchi kimechokaaa. Hii inakuwaje.
Yaani unapita barabarabani pembeni unakutana na mamitaro makubwaaa hayajafunikwa ambayo kwanza ukifuatilia vizuri hayana exit ya mitoni wala sewage system yoyote ya maana, yaani yapo ceremonial tu.
Mamitaro makubwa hayajafunikiwa na yamekaa kama mahandaki ya vita kuu ya kwanza ya dunia. Hivi hawa wenye dhamana ya utawala wakienda huko kwa wenzetu wanajifunza chochote kweli?.
Achilia mbali hilo. Ukishuka airport njiani unakutana na wabongo wamechoka mbaya, hali ngumu, wamekonda, wameweka vimizigo vyao barabarani masikini wanahustle. Hii iko hivyo miaka nenda rudi. Wakati huo kuna watu wanaitafuna nchi hii kwa kula na kusaza. Ni lini wansnchi wataanza kula matunda na mema ya nchi?. Watawala wanawaza siasa tu, siasa tu.
Pia soma
- Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?
Hawajachelewa wakiamua wanaweza ila inahitajika hela nyingiDar es Salaam wameshachelewa, wajitahidi tu Dodoma na mikoa mingine isigeuke shaghalabaghala kama Dar.
Au kusubiria uwekezaji binafsi siku tukiwa na mabilionea wengi watanunua hiyo mitaa na kujenga maghorofa.Hawajachelewa wakiamua wanaweza ila inahitajika hela nyingi
Hii inakupa picha viongozi wetu wana akili fupi sana na miradi mingi ni ya upigajiJiji la Dar es salaam linajengwa kila siku bila mpangilio, hapa leo panajengwa hivi kesho panabomolewa panajengwa vile.
Wakati linajengwa lile Daraja pale Tazara hawakujua kuna mwendo kasi kuelekea airport.
Unajenga mwendo kasi unaacha barabara za magari nyembamba, kesho ukihitaji express train unajikuta huna eneo, baada yakujenga express electric train kutoka airport to city center ili umalize kabisa unaanza na mwendo kasi ili miaka kumi baadaye urudi tena kwenye electric train.
Ile barabara ya kimara ilijengwa mwendokasi utafikiri hatukuwaza kama tunahitaji six lane muda sio mfupi, tukavunja.
Vuruguvurugu tu.
Hata huko US wanaopiga picha wanajali uzalendo. Nadra sana kuziona mitandaoni picha za watu wanaolala nje pembeni ya njia za watembea kwa miguu. Na wapo wengi sana wanaolala kwenye maboksi.Nilishasema yote maisha tu.
Najifikiria na mimi nisingezaliwa familia fulani kwa bahati tu chances are ningekuwa na maisha tofauti sana na yasiyo na relative privileges nyingi sana nilizo nazo.
Imagine unaishi kwenye hizo nyumba za mabati chakavu, halafu kuna mijamaa iko Marekani inasema maneno kama haijawahi kukaa Tanzania.
Yani ushapigwa na maisha, halafu unaona unazodolewa na wabongo wenzako waliokimbikia dunia ambayo huna hata nafasi ya kufika.
Kuna siku nilikuwa nasema Watanzania hawapendi kusoma, nikasema mimi nilijenga utamaduni wa kusoma nika ji challenge kusoma mambo mengi sana, nikapitia Tambaza Library, Tanganyika Library, USIS Library (Peugeot House), British Council, mpaka Goethe Institute na Alliance Francaise. Watu wengi hawasomi.
Jamaa mmoja akaniambia hata kuzijua hizo sehemu ni privilege, hata kupenda kusoma mara nyingi kwenu kutakuwa na msingi wa kupenda kusoma, wazazi waliosoma na wenye maktaba ya nyumbani wana nafasi kubwa ya kuwapa msingi mzuri watoto wao kupenda kusoma.
Kwamba maisha yetu mara nyingi yanafuata mkondo fulani ambao umewekwa kwa bahati, si kwa juhudi, ingawa sehemu ya juhudi oia ipo.
Kwa hivyo, tunaposema habari za mapungufu ya nyumbani, tuwe waangalifu kutowakwaza wenzetu ambao hawajapata nafasi ya kutoka, bila kusahau kuweka msisitizo kwenye kufanya mazungumzo ya kubadilisha mambo yawe mazuri zaidi.
Mkuu,Ungekuwa job creator na kuwalipa wengine vizuri, wote mnataka kuajiriwa na teuzi za serikali, hakuna maendeleo kwa akili hizo