Ukisikia kufuru ya pesa ndiyo hiyo: Cristiano Ronaldo analipwa Dola za Marekani $6.78 kwa sekunde kama mshahara wake!!

Ukisikia kufuru ya pesa ndiyo hiyo: Cristiano Ronaldo analipwa Dola za Marekani $6.78 kwa sekunde kama mshahara wake!!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Mshahara wa Ronaldo ni kama ifuatavyo:
Ronaldo's mind-boggling new salary equates to:
  • Monthly: $17.75m
  • Weekly: $4.43m
  • Daily: $633,928
  • Hourly: $24,413
  • Per minute: $406.88
  • Per second: $6.78
Kwa pesa za Tanzania (leo $1=Tsh 2500/=):
Kwa mwezi: 44,375,000,000/= (Tsh bilioni 44.375)
Kwa wiki: 11,075,000,000/= (Tsh bilioni 11.075)
Kwa siku: 158,482,000/= (Tsh milioni 158.482)
Kwa saa: 6,103,250/= (Tsh milioni 6.103)
Kwa sekunde: 16,950/=

Waarabu wana kufuru ya pesa usipime!! Wanamlipa Ronaldo Tsh 16,950/= kwa kila sekunde!! Yaani kila sekunde anayoishi analipwa sh 16,950/= hata akiwa usingizini!! hata akiwa toilet!! Hao ndio matajiri wa uarabuni! Nadhani ndani ya miaka 5, kila mchezaji mzuri atakuwa na ndoto za kucheza uarabuni!!
 
Na hapo analipwa mtu ambaye uwezo wake umeisha.

Yaani linalipwa jina la Ronaldo siyo yule Ronaldo mwenyewe wa moto, aliyekuwa anasumbua kwenye jiji la Madrid.
 
Na hapo analipwa mtu ambaye uwezo wake umeisha.
Yaani linalipwa jina la Ronaldo siyo yule Ronaldo mwenyewe wa moto, aliyekuwa anasumbua kwenye jiji la Madrid.
Kwahiyo linakupwa jina na siyo mtu!?

Aahaaaa
 
Na hapo analipwa mtu ambaye uwezo wake umeisha.

Yaani linalipwa jina la Ronaldo siyo yule Ronaldo mwenyewe wa moto, aliyekuwa anasumbua kwenye jiji la Madrid.
Uwezo wake umeisha kwa kipimo cha ulaya lakini huko uarabuni Ronaldo bado anatesa sana. Hadi sasa anaongoza kwa mbali orodha ya mfungaji bora kwenye ligi. Ana magoli 10 baada ya michezo 8 (japoo yeye mwenyewe amecheza michezo 6 tu). Anayemfuatia ana magoli 6. Anaongoza pia orodha ya assist. Ana assist 5.
 
Huku gizani wanasema mshahara ni siri; kweli umasikini sio kitu kizuri, wengi tunalipwa chini ya viwango; kwa hiyo inabidi tujipige kifuani na kusema kwa sauti; 'we are cheap labour'
 
Hao jamaa pesa wanatoa wapi? Na finacial fai play ikoje? Maana sidhani kama izo timu zao zinakusanya mapato kuanzia matangazo na haki ya uonyeshaji ,hizo ligi hazijulikani kabisa sidhani hata Top Tena inaweza kuingia ligi ya huko.
 
Mshahara wa Ronaldo ni kama ifuatavyo:
Ronaldo's mind-boggling new salary equates to:
  • Monthly: $17.75m
  • Weekly: $4.43m
  • Daily: $633,928
  • Hourly: $24,413
  • Per minute: $406.88
  • Per second: $6.78
Kwa pesa za Tanzania (leo $1=Tsh 2500/=):
Kwa mwezi: 44,375,000,000/= (Tsh bilioni 44.375)
Kwa wiki: 11,075,000,000/= (Tsh bilioni 11.075)
Kwa siku: 158,482,000/= (Tsh milioni 158.482)
Kwa saa: 6,103,250/= (Tsh milioni 6.103)
Kwa sekunde: 16,950/=

Waarabu wana kufuru ya pesa usipime!! Wanamlipa Ronaldo Tsh 16,950/= kwa kila sekunde!! Yaani kila sekunde anayoishi analipwa sh 16,950/= hata akiwa usingizini!! hata akiwa toilet!! Hao ndio matajiri wa uarabuni! Nadhani ndani ya miaka 5, kila mchezaji mzuri atakuwa na ndoto za kucheza uarabuni!!
Ungetafiti na matumizi yake yakoje.

Hizi pesa Huwa ni package nzima ya Mahitaji ya Mchezaji. Jua ana mamia ya wasaidizi na wataalam na huduma. Na vyote vipo katika pesa hiyo.
 
LaLaLaHaleHeloHalow
HelaBalaHeHelaBalo
We gettin' Arab Money
We gettin' Arab Money
HacaShegeHaLitiFaLa
MiliAlaySheNitiMala
We gettin' Arab Money
We gettin' Arab Money.
 
Ngozi nyeupe huwa wanaheshimu malengo yao.
Kuna kipindi pesa sio kipaumbele kwa kila mtu
Mbona Messi amekataa pamoja na pesa yote hiyo.
Anachopata Messi pia ni kikubwa

Mshahara wa Messi ni 50m-60m kwa mwaka unaweza ukaona ni mdogo uki compare na 200M ya Ronaldo ila angalia na bonus nyengine anazopewa Messi.

1. Bonus Toka Apple.
Deal lina worth 2.5B hatujui Messi anapata ngapi ila ni confirmed ana share kwenye hilo dili, hata kama ni single digit hela nyingi hio.

2. Bonus Toka Adidas
Inakadiriwa deal litakua 1B usd kwa "lifetime" contract,

Hivyo kijuu juu ukiangalia Mshahara utaona kama Messi kaacha Mshahara mkubwa ila ukiangalia kwa big picture utaona Messi anapiga hela ndefu.

Hapo bado hatujajua asilimia ngapi za Inter Miami kapewa, ni mchezaji mmiliki kule.
 
Back
Top Bottom