Ukisikia kufuru ya pesa ndiyo hiyo: Cristiano Ronaldo analipwa Dola za Marekani $6.78 kwa sekunde kama mshahara wake!!

Ukisikia kufuru ya pesa ndiyo hiyo: Cristiano Ronaldo analipwa Dola za Marekani $6.78 kwa sekunde kama mshahara wake!!

Mbona Messi amekataa pamoja na pesa yote hiyo.
Mahesabu ya Messi Yako mbali sana.

Pale inter Miami tayari ana share zake.

Na tangu ajiunge na timu share zinapanda Kila siku.

Usije shangaa Ile timu miaka 10 ijayo ikawa na thamani ya bilions which means jamaa atamake mkwanja mrefu.

States Messi atalamba sana Dili za matamgazo.

Wanae watasoma shule kama ustaarabu waliouzoea.

Hali ya hewa pia Rafiki na pia karibu kwenda kwao ajentina.

Kashinda Kila kitu kuanzia uwanjani hadi nje ya uwanja Hana alichobakiza

Kwa Sasa anaweka legacy tu.

Halafu mafahari wawili hawawezi Kaa zizi Moja.

Messi angeenda uarabu angeoneka mpenda vita kama alivyo MCHIZI.

Akamwacha akatambe huko kwa akina MBS yeye Yuko zake states. Anapiga ball akichoka anaenda zake beach za Miami kula bata.

Na zaidi Miami kihispaniola ni Moja ya lugha inayozungumzwa kwa sana pembeni ya kingereza.

So jamaa amewin.

Alitaka kwenda Argentina yaani anapanda ndege fasta tu chap Yuko Rosalio kwao.
 
Back
Top Bottom