Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

Kama kweli ulinunua 2024 shares za crdb ya million 60 basi mwaka huu utakua umefurahi sana
 
Mwezi wa sita tarehe 1 nakula gawio langu
 
Mwanangu mwenyewe vipi? Kitambo sana Toka enzi za sekondari hatuonana. Kama vipi nicheki pm tukumbushane stori za demu wako shule πŸ˜…πŸ˜…, siku hizi amefubaa kinyama. Halafu vipi ulinzi kama vipi niwekamo🀣
Swaga za kizamani sana
 
Kukosa huwezi maana Kila mwaka hizo benki zinapata faida za kuibia wateja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…