Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Swadaktaa...kitengo kipo vizuriKitengo cha masoko kazini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swadaktaa...kitengo kipo vizuriKitengo cha masoko kazini?
CRDB hisa zake ni 680Hisa za Crdb zinachezea kwenye shillingi 200 kwahyo kwa ml60 umenuna hisa 300000 gawio kwa mwaka inaweza kuwa shilingi 20@hisa kwahyo return kwa mwaka ml6 kwa Mtaji wa ml60 cjaweka kupanda au kushuka kwa bei ya hisa sokoni.
BOT wanauza hati fungani za 15.49% annually risk free.amenishangaza kidogo kiongoz , ila kwakua kishasema kujilupua ngoja tusubiri mlio
Kaacha biashara ya nazi. Kaenda kufanya biashara ya papai.Mwaka jana zilikua kwa asilimia kumi na moja , UTT kipande kilipanda kwa asilimia 12 mbona kama performance utt iko juu na liquidity kuliko hisa?
Maana yake kaacha biashara yenye manufaa, kaenda kwenye biashara yenye risk za kutosha [emoji23][emoji23][emoji23]Kaacha biashara ya nazi. Kaenda kufanya biashara ya papai.
Wako poor sanaukata wa dola umewangusha sana mwaka jana, kazi kwa mazoea bila kujari wateja kunaenda kuwaangusha pia
kifupi wafanya kazi wa CRDB hasa mameneja hawajishughulishi tena wanahisi wamemaliza kazi
naiona NBC inakuja vizuri
CRDB wanafanya vizuri sana, kuwekeza kwa hawa jamaa hujapoteza. Performance yao inapanda kila leo
Mwakani mabenki yatafilisika na kufungwa yaliyomengi!Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe nikipata sawa na nikikosa sawa. Mungu jaalia. Nitaleta mrejesho baada ya Mwaka kupitia.
Lets keep it simple wala siongelei shares pekee katika kuweka pesa zako zote naongelea industries tofauti na unafanya hivyo kwanini ? Shit bounds to happen sasa kama umewekeza kwenye industry moja industry hio ikienda belly up umetoka kwenye reli...... kwahio hio haina ukasi wa dunia wala nini ni common sense to hedge your risks.....Diversification sometimes ina lemaza akili.
Kifupi Dunia inakimbia sanaa hata Diversification sasa hivi watu wana i-judge
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mtaji wake umekuwa kwa 11% na pia anapata dividends. Faida sehemu mbili.Mwaka jana zilikua kwa asilimia kumi na moja , UTT kipande kilipanda kwa asilimia 12 mbona kama performance utt iko juu na liquidity kuliko hisa?