Ukisikia kujilipua ndo huku. Ml 60 hisa za CRDB bank, liwalo na liwe!

Ukisikia kujilipua ndo huku. Ml 60 hisa za CRDB bank, liwalo na liwe!

Hisa za Crdb zinachezea kwenye shillingi 200 kwahyo kwa ml60 umenuna hisa 300000 gawio kwa mwaka inaweza kuwa shilingi 20@hisa kwahyo return kwa mwaka ml6 kwa Mtaji wa ml60 cjaweka kupanda au kushuka kwa bei ya hisa sokoni.
 
CRDB wanafanya vizuri sana, kuwekeza kwa hawa jamaa hujapoteza. Performance yao inapanda kila leo


Yes for general bank profit, but not in terms of dividend for share holders, better to invest your money UTT mara mia..!! Huyu mwache atarudi kauza shares azipeleke UTT tena, hajafanya study vema, ndio maana kaandika kujilipua, mtu wa kujilipua ni mtu wa ku bet, yaani sio msomi au hajui soko la fedha vema, kazi yake ni ku bet bet tu..!!
 
Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe nikipata sawa na nikikosa sawa. Mungu jaalia. Nitaleta mrejesho baada ya Mwaka kupitia.
Mwakani mabenki yatafilisika na kufungwa yaliyomengi!

Recession inakuja! Viashiria vinaonekana!
 
Diversification sometimes ina lemaza akili.
Kifupi Dunia inakimbia sanaa hata Diversification sasa hivi watu wana i-judge

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Lets keep it simple wala siongelei shares pekee katika kuweka pesa zako zote naongelea industries tofauti na unafanya hivyo kwanini ? Shit bounds to happen sasa kama umewekeza kwenye industry moja industry hio ikienda belly up umetoka kwenye reli...... kwahio hio haina ukasi wa dunia wala nini ni common sense to hedge your risks.....
 
Back
Top Bottom