Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Kwangu mm uhai ni bora zaidi kuliko ktu kingine. Nafurahi Sasa
..watu hawatekwi tena,
..watu hawaporwi tena,
...watu hawapigwi risasi tena,
..atu hawaokotwi kwenye viroba tena.
Hata kama tutanunua kilo moja ya sembe kwa laki moja kama hayo maovu niliyoyataja hapo juu hayapo kwangu mm haina shida.
Sasa ukizingumzia waliojenga barabara nchi hii utamtaja magu au jakaya!?...magu hata 1000km hafikishiBut man,
At least he showed us how the country can be governed...
Hizo barabara wilayani na taa za mitaa uliziona lakini
Kuhamia Dodoma Kuna tija gani kivyovyote vile!?..stieglers ni upuuzi wa kiuchumi ambao taifa haliepuki kuukamilishaAta Serikali kuamia Dodoma na Ujenzi wa Stieglers uliasisiwa na Mwalimu Nyerere ila alitekeleza Dikteta,wanademokrasia wako walishindwa!
1.5 trlnMUANZISHA UZI HUWEZI UKAFUTA LEGACY YA JIWEE!!!
he is the iron fist, legende of all legends
HAKIKA JPM NI MWAMBA WA WATANZANIA
Legacy ya mzarendo uchwaraHuyu Mwamba kateswa na Wazungu, Magufuli alikuwa anatesa Watanzania wenzake. legacy Lumumba imeandikwa mpka mbinguni.
Pumbavu mwenyewe na ukoo wako wote. Chadema inahusika wapi hapa badala ya kumjibu mleta hoja.[emoji304][emoji304] mkubwa weweChadema wajinga sana, nyinyi kama chama mna nini cha kujivunia? Matusi siyo?
JPM, siyo mandishi na uwongo wa kulipia utakaomchafua!
Mtaandika maneno yoote, mtajibiwa na JKNHP peke yake!
Pumbavu zenu kabisa
Mwamba alikuwa jambazi sugu1.5 trln
Mkandarasi wa mmabarabaraa anayataja yote eti kunakipindi ametaja idadi ya samaki baharini wabongo bwana Hadi senza ya samakiUkisikia watu wameiacha legacy ndiyo hawa sasa. Huyu aliacha alama kweli kweli!!!!
View attachment 2575597
Siyo lile taka linaitwa mwamba wakati hakuna hata mtaa wala taasisi yoyote mahala popote ktk nchi yoyote iliyopewa jina lake. Legacy yake sifuri kabisa.
Zaidi ya kuficha hela huko china kwenye akaunti binafsi alifanya nn kingine??
Zaidi ya kupora, kuiba, kuteka, kuua, kupiga watu risasi na kutukana hadharani, alifanya nn kingine?
Kwani serikali kuhamia Dodoma kuna faida Gani serikali bado ipo dar ndugu dodoma Kule vikao vya Chama system yote ipo dar vp wa america ungemwona chamwino lakini kafikia dar kaondokea darAta Serikali kuamia Dodoma na Ujenzi wa Stieglers uliasisiwa na Mwalimu Nyerere ila alitekeleza Dikteta,wanademokrasia wako walishindwa!
Jipige kifuani: umehitimu kozi ya ujinga!But man,
At least he showed us how the country can be governed...
Hizo barabara wilayani na taa za mitaa uliziona lakini
Yule jamaa alikuwa muongo sana. Sema watanganyika ukitaka kuwa win uwe comedian mpenda sifa!Mkandarasi wa mmabarabaraa anayataja yote eti kunakipindi ametaja idadi ya samaki baharini wabongo bwana Hadi senza ya samaki
Tatizo lako unaandika vitu halafu hujawahi kuvuka border. West Africa wanamjua Magufuli kuliko hata Tanzania yenyewe.Ukisikia watu wameiacha legacy ndiyo hawa sasa. Huyu aliacha alama kweli kweli!!!!
View attachment 2575597
Siyo lile taka linaitwa mwamba wakati hakuna hata mtaa wala taasisi yoyote mahala popote ktk nchi yoyote iliyopewa jina lake. Legacy yake sifuri kabisa.
Zaidi ya kuficha hela huko china kwenye akaunti binafsi alifanya nn kingine??
Zaidi ya kupora, kuiba, kuteka, kuua, kupiga watu risasi na kutukana hadharani, alifanya nn kingine?
Zitto ni mgonjwaZitto alishawaambia kuhusu saa 8 meenyekiti wenu ndye anajua mpango mzima
Leta proofTatizo lako unaandika vitu halafu hujawahi kuvuka border. West Africa wanamjua Magufuli kuliko hata Tanzania yenyewe.
I don't need to, kata ticket na visa ingia Senegal, Ghana, Nigeria, Gambia na Cameroon utakuja na majibu.Leta proof
Aisee tuwe tunaweka akiba ya manenoUkisikia watu wameiacha legacy ndiyo hawa sasa. Huyu aliacha alama kweli kweli!!!!
View attachment 2575597
Siyo lile taka linaitwa mwamba wakati hakuna hata mtaa wala taasisi yoyote mahala popote ktk nchi yoyote iliyopewa jina lake. Legacy yake sifuri kabisa.
Zaidi ya kuficha hela huko china kwenye akaunti binafsi alifanya nn kingine??
Zaidi ya kupora, kuiba, kuteka, kuua, kupiga watu risasi na kutukana hadharani, alifanya nn kingine?
Yaani siku nilimsikiliza nicheka nikawaambia stuff wenzangu hakuna mtu mwongo kama huyu jamaa ujuwe idadi ya samaki bahari ya Tanzania wakati samaki mmoja uweka mayai zaidi ya mia Tano mdomoni mwake eti sifurii point sifuri.. point Tisa na wabunge washangiliaYule jamaa alikuwa muongo sana. Sema watanganyika ukitaka kuwa win uwe comedian mpenda sifa!
Yule JPM angedumu miaka 7 hadi 10 kwenye utawala wake kila kitu nchini kingepewa jina lake na vingine majina ya machawa wake!Ukisikia watu wameiacha legacy ndiyo hawa sasa. Huyu aliacha alama kweli kweli!!!!
View attachment 2575597