Ukisikia legacy ndiyo hii sasa

Kuna mji wa nanilii huko dom
 
Huu ndio unafiki wa kitanzania. Samia akiondoka ikulu utakuja kumponda kama unavyomponda JPM muda huu.

Utaendeleza hii tabia bila ya kuona aibu ni asili yetu ya ndani kabisa.
 
But man,

At least he showed us how the country can be governed...

Hizo barabara wilayani na taa za mitaa uliziona lakini
How Sasa ,yule mjinga hiyo legacy yake will perish kabisa baada ya 2025.

Kama alionesha jinsi inatakiwa kuendeshwa Nchi gani zinafuata upuuzi wake Sasa hata Tanzania time mdamp.

Mwisho Mkapa ana legacy kubwa all over Afrika baada ya Nyerere.
 
Mimba yake aliyokuachia Magu utajifungua tu!
 
Ndio maana Mhusika Mkuu (Mobutu Seseko) wa hiyo kadhia ya kumtesa naye alikufa kifo cha mateso na aibu. Duniani tunapita tuzingatie sana utu wa kila mtu, maana Mungu ana makusudi na kila mwanadamu aliyepo Duniani.
 
World bank fund, DMDP project, wajinga kama wewe mpo wengi msiyojuwa lolote.

Ni Kikwete administration ndio hizo project zilikuwa raised, na utekelezaji ndio ukaangukia kipindi cha dikteta uchwara.
Mbona JK zilimshinda.? Terminal 3 yenyewe ilimfia mikononi mwanaume akaja kuimaliza. JK alimlipa mkandarasi hela yote watu wakapiga mradi ukasimama. Kazi za mwanaume hazikuwahi kusimama hata usiku mmoja. Kisha unatuletea habari za kutukatikia viuno wanaume.
 
Na wewe dr ulimboka angekua ndugu yako ungeimba haya mapambio unayoimba?
 
I don't need to, kata ticket na visa ingia Senegal, Ghana, Nigeria, Gambia na Cameroon utakuja na majibu.
Wakimjua kuna shida gani? au inaondoa ukweli kuwa alikuwa mtawala wa ovyo?
 
KUNA NGUVU KUBWA INATUMIKA KUMFANYA JPM, JIWE KUONEKANA HAKUFANYA KITU

NASEMA HIVI HAMUWEZI KUONDOA LEGACY YA JIWEEE KAMWEEEE NYIE WAPUMBAVU



JIWE ATABAKI MKONO WA CHUMA ALIYEWANYOOSHA WALAMBA ASALI NA VYETI FEKI

WENYE VYETI FEKI WAMEJAA KWENYE UZI HUU KUTOA POVU
 
Kwa nini manchuria Nji yenu CHADEMA mnaabudu ya wenzenu? London kuna Tanganyika Street, Liverpool kuna Chunya Street. Nairobi Moscow, Algiers, Cairo, Harare, Accra, kuna Nyerere Street. Lumumba Street hazifiki 20 dunia nzima. Hilo la kwanza. La pili ni legacy ya Magufuli huwezi kuofuta. Askofu wake Miwemugizi ambaye ni kada wa CHADEMA majuzi alisema huwezi kuifuta kwa sababu ipo inaonekana kwa macho. Nyerere pia anasifiwa na watu wa South Africa kwa vitu viwili: Wimbo wa Taifa na Bendera ya Taifa vyote wameiga kwa Nyerere. Chuki ya Nchi yenu inawapeleka hadi kwa Shetani: tumepewa picha za Zitto na Bobby Wine wakifadhiliwa na mashoga, yaani wako tayari kuuza roho zao kwa Shetani mradi tu wapate kutawala na mashoga,wapate njia ya kupitishia mambo yao. Utakatifu wa Nyerere (au mtu yeyote yule) si wa kushabikiwa, Mungu atautoa atakapoona inafaa. Cha ajabu mnaokoteza nyaraka kama wajinga vile, mnajidanganya hii Nji ina wenyewe.
 
Dah,siku lumumba ameuawa kesho yake maandamano china na urusi maelfu ya watu barabarani
 
Ila alikuwa na roho mbaya sikuwahi kuona akaweka chuki Kwa wachaga utadhani wachaga walikuwa na visa naye mpaka Mimi nikajuuliza huyu broo wachaga wamemkosea Nini
Wewe ni mchaga?
 
Wewe ni sexless.....
 
Huyu huwezi kumlinganisha na nyumbu wala mwanaufipa yeyote.
Huyu alikuwa mpinga mabeberu mpaka yakamuua kama Magufuli.
 
 

Attachments

  • IMG-20230402-WA0006.jpg
    67.7 KB · Views: 2
Wakimjua kuna shida gani? au inaondoa ukweli kuwa alikuwa mtawala wa ovyo?
Wanamjua kwa mazuri siyo mabaya. Kila mtu ana maoni yake juu ya utawala wake na maoni yote yaheshimiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…