Ukitaka furaha ya kupendwa, uwe na hela, toka na vitoto vya miaka 20-23

Ukitaka furaha ya kupendwa, uwe na hela, toka na vitoto vya miaka 20-23

Hapo ndo siri ilipo ndugu zangu...yaan ukitaka mapenz yale yenyew yaan mtoto wa kike anachanganyikiwa...

Hakikisha uko 30s....vihela vidogo vidogo si shida....halafu date hvyo vitoto yaan 20-23

Usicheze nje ya hapo...

Whyyy..

Sabab vitoto ving umr huu vinakua vipo chuo vinasoma na vinakua ving ndo vimeanza mahusiano..weng ndo mahusiano yao ya kwanza au pili...so weng huwa wana mapenz yakwel yale yaliyopitiliza yaan yale ya kukuonea wivu..kukupigia simu kila wakat etc etc

Angalizo...(lazima uwe na vijihela ndugu)

Ukiwa choka mbaya ndgu tusijelaumiana..maana itakua oposite..

Experience imenithibitishia hili...

Kuna katoto naenda nako mwez wa 3 huu...bado sijakagusa lakin aisee ni kama kamechanganyikiwa yan..si ka1 tu..kuna kengne pia..

Ila uzur wake naviheshimu..sjavilala bado...ooh pia namweshimu dada yao ambae niko nae kwasasa..ila sasa kwa speed yao .nahis lolote laweza tokea.

Tusilaumiane.

Uzi tayar...
(Niko mkoa kikazi...raha sana..maana field work naweza ingia mda naotaka mim,hapa najishaur niende au nisiende...ila dodoma kubaya jaman)
Kurahisisha tu ni kuhakikisha mchepuko anakuwa ni, Umri wako Gawanya kwa Mbili plus
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
Hujafafanua lakini, usije kuniponza ndugu. Binafsi huwa siumwi chochote labda vimafua tu.

Na wanasema sisi siku ugonjwa ukitutaitisha hasa uzeeni ndio tunakatika kabisa.
Hahahah sasa we unataka kufanya fujo kweli! Sharti ni moja ufanye na O mwenzio ukijichanganya na akina A sijui AB huko tusilaumiane!😅😅😅

Uzeeni kwa kweli sina hakika ila naona kwetu wazee wana approach 70’s bila major issues! Kuanzia babu mpaka washua! Uzuri wa O haina tatizo la heart attack au failure za moyo! Ikitokea ishu serious basi ni cancer au stroke
 
Cheers 🍻 tukutane 70's 😂😂, hapana bana siburuzi hahah!
 
Back
Top Bottom