Ukitaka furaha ya kupendwa, uwe na hela, toka na vitoto vya miaka 20-23

Anza kushtuka mzee baba, upo katika late 30's unadhani watoto hao wa early 20's wanakupenda sana kisa unatuma na ya kutolea eeh, watakuachia maumivu hutakaa usahau. Tulia na mkeo mkuu
 
Mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo sayansi umeosoma wapi? Kuhusisha magonjwa na Group la damu[emoji23]....Tujilinde na njia za kupata magonjwa kwa aina zake.

Ukiingia kumi na nane za kupata ugonjwa fulani, unapata bila tatizo...Hiyo Blood group 0 halitakusaidia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Shauri yako.

Embu acha hiyo mambo uliyoikariri sijui kutoka wapi![emoji134]
 
Mzee, asilimia nyingi ya watu ulimwengu ni wenye group O kwa hiyo ndio maana waathirika ni wengi
Na huo ndo ukweli....Sasa mkuu hapo juu anakwambia wenye Group 0 kupata ngoma ni ngumu[emoji23][emoji23][emoji23]

Sijawahi ona vitabu official vikihusianisha magonjwa na Group 0.
 
Ila jamaa wewe,unajichetuaa,kumbe hata kugusa hujagusa? Aisee
 
Yote Tisa, ukitaka kula watoto wazuri kuwa na vitu vifuatavyo, kuwa na GARI + Na PESA ndogo ndogo sana (20000, 30000-100000) ikae tu mfukoni, basi utawala watoto wa aina zote jijini dasilamu na vitongoji vyake, kama una ela hauna GARI utapata taaaaaaabu sana
 
na haya ndio matukizi ya pesa. si umalaya kama mtoa post
 
hahah huyu jamaa bado ana akili za kitoto sana. yaani furaha ninkutembea na 23 20.
at 30 age lazima uwekeze kwenye maendeleo.

huyu fufu yeye ndi kwanza uzinzi
Mda huo ndio wa kukusanya hela matumizi utayafanya ukikaribia forty kwenye mid 30’s huko! I think its the best plan sahizi ni kubalance matumizi ya hela tu
 
Acheni kuwaharibia watoto wa maisha! Unajua ni namna gani wazazi wanapambana kutafuta ada?
 
na kuachana na mataga
 
Reactions: Cyb
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…