Trubetzkoy
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 349
- 678
[emoji38][emoji38]Yaan chifu..ni visumbufu ila sasa...uta enjoy had useme basi..maana ndo umri wao wa kwenda club.kujirusha..kujarib..yaan kila kitu vinajaribu..tena ukutane na vilivyotoka shule za wasichana pekee .aisee.utaenjoy balaa...kuna ka1 najilia mate popote pale..nakalaga mate samak samak open kabisa ..na fresh tu..na ni kazur balaa.ilaa bado sijakavua nguo...nakusanya nguv kidogo..maana hapa katikat perfomance nilishangaa imeshuka...sjui dada yao kaniroga ama vip
Niambie MkuuHiyo si furaha bali rafu ya maisha. Nasema hivi: Ukitaka furaha, tafuta shughuli ya halali, fanya kwa bidii, jali afya yako, wasaidie wahitaji, hudhuria church/mosque mwombe Mola, weka malengo na kutumia akili yako kuyatimiza. Furaha kama mafuriko. Au nasema uongo ndugu zangu!???
HiAh safi tu yani! I feel so blessed kuwa O! Piga sarakasi zozote maana ndio grupu imara kuliko yote when it comes to immunity!
Sawa Dr. Mwaka leta manenoNaona umeamua kuwadanganya wakulungwa hapa,hilo group lipo vulnerable kwa baadhi ya magonjwa kwan linakuwa resitant kwa dawaa,yaan ugonjwa hauskiii dawaa
Hi
Sawa Dr. Mwaka leta maneno
Usitake kuwaaminisha sanaa hawa vijana kwamba watembeze rungu kwan BG itawabeba.....huu mzigo haubagui kote kote unatembeaSawa Dr. Mwaka leta maneno
Jichanganye moto ukuwakieHujafafanua lakini, usije kuniponza ndugu. Binafsi huwa siumwi chochote labda vimafua tu.
Na wanasema sisi siku ugonjwa ukitutaitisha hasa uzeeni ndio tunakatika kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Endelea na umalaya! Fainali uzeeni mzee baba zingatia kuvaa ndom kama group lako sio “O”
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vitoto vimekukoleza Hadi umekuja kusimulia huku [emoji23][emoji23][emoji23] na siku vikibuma
Maumivu yake Ni Kama hii furaha kinyume chake
Sasa hapo kwenye hiyo age, wengi wamegongwa cheza vizuri, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni Kwel mkuu..cha muhimu ni kutumia kinga tu na kuwa mjanja sio unachovya chovya kwaa watu wa ajab ajab..
Mim vitu vyangu ving..vitoto vya chuo..vidada vinavyofanya kaz pharmacy..stationery..supermarket..na vingne huwa navitega pale mcity au kidiwise..wa kazini hapana umri umeenda na weng wake za watu.siwatak hao...
Babu mbagala unaenda kimya kimya bila kunishtua jamaa yako 😂😂Endelea na umalaya! Fainali uzeeni mzee baba zingatia kuvaa ndom kama group lako sio “O”
Kwahiyo unaendaga mlimani city kutega totoz 😅Ni Kwel mkuu..cha muhimu ni kutumia kinga tu na kuwa mjanja sio unachovya chovya kwaa watu wa ajab ajab..
Mim vitu vyangu ving..vitoto vya chuo..vidada vinavyofanya kaz pharmacy..stationery..supermarket..na vingne huwa navitega pale mcity au kidiwise..wa kazini hapana umri umeenda na weng wake za watu.siwatak hao...
Group 0 hapa ila mara nyingi nikiwa TZ baada ya miezi napata malariaWote tunapitia hali hio hio hata mie nimeumwa mwezi uliopita ila last time naumwa nafikiri ilikuwaga 2015 ile!
Utakuwa O feki weweGroup 0 hapa ila mara nyingi nikiwa TZ baada ya miezi napata malaria
2gether we can talkHiyo si furaha bali rafu ya maisha. Nasema hivi: Ukitaka furaha, tafuta shughuli ya halali, fanya kwa bidii, jali afya yako, wasaidie wahitaji, hudhuria church/mosque mwombe Mola, weka malengo na kutumia akili yako kuyatimiza. Furaha kama mafuriko. Au nasema uongo ndugu zangu!???
Hebu nifafanulie group O . Kwanini unasema azingatie kuvaa condom kama sio group OEndelea na umalaya! Fainali uzeeni mzee baba zingatia kuvaa ndom kama group lako sio “O”
Mbona nishafafanua juu huko!Hebu nifafanulie group O . Kwanini unasema azingatie kuvaa condom kama sio group O
Blood group O negative hata covid inadunda na hata wakipata hawaumwi kivile.Mbona nishafafanua juu huko!
Wenye group O wapige pige kifua auEndelea na umalaya! Fainali uzeeni mzee baba zingatia kuvaa ndom kama group lako sio “O”