Suggest kichwa kizuri basi. Au weka hiki hapa chini:Jichanganye ufungue. Unadhani ni rahisi! hata ujinga ukifanyiwa investment unaonekana ni kitu halisi. Nyuma ya pazia kuna sacrifice za kutosha mwamba kazifanya. Huwezi acha kupiga debe kkoo~mbezi kesho ukusanye kadamnasi hvyo ni kugonjeka akili kuwaza hvyo.
Na serkali tuitoe hapa hili ni swala la imani ya mtu.
Simkubali mwamba ila umekosea sana hii TITLE MKUU
Mbona kama unanifokea kwa uzembe wako wa kufikiri mkuu
Sio kweli kuna mwanangu anapiga hizo mishe ,na ana vichwa hapo mwanza wa kutosha , yeye mwenyewe ana kiri tukiwa bar kuwa wajjnga ni wengikama ni rahisi fanya wewe..kuna gharama wameingia tena kubwa sana nyingine za siri nyingine zinahusu pesa ndo anachomaanisha YoungPastor
??kama ni rahisi fanya wewe..kuna gharama wameingia tena kubwa sana nyingine za siri nyingine zinahusu pesa ndo anachomaanisha YoungPastor
Halafu wote wanawake daahWatu wakiwa kwenye foleni ya kununua udongo wa baraka kwa mwamposa
Ina reflect ugumu wa maisha wanadhani wakienda kwa mwamposa watatajirika