Ukitaka hela za haraka fungua kanisa kuna majinga mengi; kinachoendelea Kawe kwa Mwamposa kinasikitisha

Anzisha kanisa lako uone kama watu watakuja. Shida na matatizo ni changamoto ngumu sana kushughulika nazo ktk maisha ya binadamu
Kwanini tushindane kutapeli wanyonge na wenye matatizo?
 
Very satanic and unethical
 
Hivi mshikaji wake mwamposa, bwana sixbeth paul mkeremi, waliyeanza naye harakati pamoja yuko wapi......
 
Hata maji ya kutawadha msikitini kwenu yako pembeni ya choo
Ndiyo utambue hakuna dini bora kuliko nyingine na hakuna dhehebu bora kuliko nyingine.
Hizi dini zimeletwa kwaajili ya kustarabisha watu lasivyo tungeishi kama wanyama.
By the way waarabu wanaamini wao ndio waislam wa kweli sisi ngozi nyeusi ni takataka hatujui chochote kuhusu uislam ndio maana wanatubagua.
Vivyo hivyo wazungu wanaamini wao ndio wanaujua ukristo, sisi Waafrika hatuujui ukristo tuna kurupuka tu.
SASA HUWA NASHANGAA NIKIONA WAAFRIKA WAPUMBAVU WAKIBISHANA NA KUGOMBANA KISA DINI.
 
Kwani we bwege hutaki hela? Kaanzishe ya kwako
 
We mwenyewe kapuku fukara una nini? Acha arrogance wakati huna lolote la maana waache kila moja afanye kinachomfaa
 
Kama Makanisa yanaponya kwanini serikali isifungue Makanisa Kila kata watu wawe wanasaidiwa huko kuanzia afya, ajira, chakula z miundombinu n.k
Mimi sijasema makanisa yanaponya hata kama yanaponya uponyaji hauwezi kuwa kwaajili ya kila mtu. Mimi pwentu yangu nikwamba hakuna mtu anaenda huko akiwa hana shida fanya utafiti. Watu wanajaribu kutafuta mahali watakapopata suluhisho la shida zao. Basi. Kama wewe huna shida huwezi kujua mtu mwenye matatizo mambo anayopitia. Subiri na wewe siku ukipata matatizo ndio uanze kushughulika kupata suluhisho kwa wakati wako
 
Labda kwa Waarabu, lakini wazungu hawana hiyo. Endeleeni kusugua digital kwenye makomwe wakati Waarabu wako safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…