Mohamedex121
JF-Expert Member
- Jan 27, 2022
- 1,725
- 3,271
- Thread starter
-
- #61
Sasa wewe wa dunia ya tatu mtanzania mwenzangu kama mimi unajilinganisha na elon musk kweli we kichwa majiYaani tajiri Elon Musk atumie Smart afu kalumakenge mmoja aseme hautafanikiwa, hii dunia bwanaaa
Kwahiyo kukurahisishia kutembea na laptop nayo ni faida?? Mkuu am talk about money, did your smartphone have gave a money au wewe ndo kama mimi kila siku kupoteza pesa za mabando na kuwa masikiniBila smartfoni tatizo labda kama uko porini huko mtandao unasoma E,huna haja nayo....fursa unaweza kuipata via mtandaoni
Binafsi imenirahisishia kutembea na [emoji335] na begi kila muda au kusubiri mpaka niwe karibu na desktop hata kama nasafiri kila kitu kinaishia kwenye Simu bila shida na mambo yanaenda
Pamoja mkuu let focus on life now hizi simu zinaushetani sana zinatupotezea muda mnoTuko nyuma yako aisee mi mwnyw soon nakimbia hii mitandao
It's VIVO Y21S Nimenunua 520k dogo kama hujui kaa kwatuliakumbe nini?, tecno au itel?
Siwezi kuamini mkuuNo,kama upo na shida seriously wanajf ni ndugu tosha.Amini ivo
Sasa mimi na wewe nani mshamba??? Mshamba ndio wewe unayepoteza muda wako kwenye masocial media ambayo hata hayakisaidii halafu unajiita mjanja, hivi wewe kwa akili yako unadhani kuna mtu atakayekusaidia humu JF kwa kuelezea shida zako, Loh mind your business acha kutegemea misaada ya bure tafuta chakoMshamba usimsanue, muache auze simu yake akapande juu ya meza kitambaa...
Mbona kuna watu wako aged kisenge but they use smartphones, are they kids?Si unatumia mitandao ya kijamii you still a kid coz majukumu bado hujawa nayo hivo pesa zako zote unamalizia kwenye mabando
Sawa mtoto wa bakharesa, wewe ni Mo dweji MkuuMotivational speaker wa nyokooo? Mi nakuambia uhalisia mimi ni TEAM LEADER kwenye mtandao fulani wa simu hapa Tz na nina team inafanya kazi vizuri tu. Hivi mtaani kwako hamna vijana wanaosajili line? Sasa hao mimi ndio nawamanage. Mfano nanunua smartphone labda laki 1 nampa kijana namfanyia training akiiva anaingia mzigoni team nzima ikifanya kazi vema nna uhakika wa kuingiza pesa ndefu. Baki na smartphone kuchatia nina degree 1 tu lkn naweza kuwa na kipato kikubwa kuliko mjombaako kijana. Karibu kwa maulizo PM PIMBI FC
[emoji23][emoji23][emoji23] mbona unapoteza sana muda na hela za kudownloading hizo app unazozijaza kwenye simu yako?? But it's okay it's you choiceKazi yangu bila smart haifanyiki.App za benki,App za ratiba ya kazi.App za kutransfer pesa,App za kukatia ticket za usafiri,App za online shopping,App za discounts,App za kufahamu barabara ipi ina foleni,App za kufahamu ratiba na saa za vyombo vya usafiri.Vilevile sihitaji kubeba wallet wala kadi natumia smartphone.
Matulity is not age, matulity is a mindsetMbona kuna watu wako aged kisenge but they use smartphones, are they kids?
[emoji23][emoji23][emoji23] ebu toa mfano simu inawezaje kuchochea maendeleo ya aneimiliki?? Ebu kuambia wewe apo ulipo umepata maendeleo gani ulivyoanza kutumia hiyo smartphone yako ?? Be seriously mkuu!! Hizi smartphone zinatupotezea muda na hela utaacha kufanya vitu vya maana kwenye maisha, ukiiendekeza hizi mitandao ya kijamii isiyonafaida yoyote kwakoUna mtazamo hasi kuhusu matumizi ya smartphone wakati wenzako wanazitumia kama nyenzo ya kurahisisha kufanya shughuli zao za kupata fedha. Kijana gani wa kileo una mtazamo mbaya wa simu hizo? Tatizo wengi mnazinunua simu hizo kama fasheni tu na kufuata mikumbo. Tumieni simu hizo kupata maarifa na taarifa za kufanya maamuzi katika kuchochea shughuli za maendeleo
Sawa motivation speaker wa digital marketing na mzee wa trade forex nakuona hapo unavyoingiza ma dollars kwenye smartphone yako soon tunakuita billionaireMohamedex121 wapi nimesema nategemea kusaidiwa na mtu humu JF?
Ushamba wako ni kujua matumizi ya smartfone ni kuperuzi tu mitandao na ndio maana inakucost. Transform it to be a source of ur income badala ya kuiuza, try to expand ur thinking capacity!
Kuinstall App kwenye smart yako inachukua muda gani?[emoji23][emoji23][emoji23] mbona unapoteza sana muda na hela za kudownloading hizo app unazozijaza kwenye simu yako?? But it's okay it's you choice