secretarybird jaribu kumpinga kuhusu punyeto
Kiranga jaribu kusifia dini mbele yake
min -me jaribu kusema kuwa pombe ni mbaya
anasbo jaribu kuwa-diss wadada wenye makebo makubwa
ngara23 jaribu kuongelea vibaya kuhusu chadema
Eli Cohen jaribu kuongea vibaya kuhusu israel
Mshana Jr jaribu kupinga kuwa uchawi haupo
Chizi Maarifa jaribu kuongea vibaya kuhusu wadada wa kiarabu
Ritz jaribu kuongea vibaya kuhusu iran
Scars jaribu kusema ronaldo sio G.O.A.T
cocastic ongelea vibaya kuhusu ushoga
Ongezea wengine⤵️