Ukitaka kugombana na hawa members wafuatao basi gusia hivi vifuatavyo

Ukitaka kugombana na hawa members wafuatao basi gusia hivi vifuatavyo

Status
Not open for further replies.
lucas mwashbwa,tlah tilaaa,choice,galo burd,paskali na mama yao ,mama anaupiga mwingi
 

Attachments

  • images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
    images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
    10 KB · Views: 12
secretarybird jaribu kumpinga kuhusu punyeto

Kiranga jaribu kusifia dini mbele yake

min -me jaribu kusema kuwa pombe ni mbaya

anasbo jaribu kuwa-diss wadada wenye makebo makubwa

ngara23 jaribu kuongelea vibaya kuhusu chadema

Eli Cohen jaribu kuongea vibaya kuhusu israel

Mshana Jr jaribu kupinga kuwa uchawi haupo

Chizi Maarifa jaribu kuongea vibaya kuhusu wadada wa kiarabu

Ritz jaribu kuongea vibaya kuhusu hamas

Scars jaribu kusema ronaldo sio G.O.A.T

Lamomy jaribu kumsifia seran mbele yake

cocastic jaribu kuongea vibaya kuhusu vijana chapati

Ongezea wengine⤵️
Wewe kweli punga sijakosea
Kutwa kuwaza wanaume, jitie tu midole punga wewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom