Ukitaka kugombana na hawa members wafuatao basi gusia hivi vifuatavyo

Ukitaka kugombana na hawa members wafuatao basi gusia hivi vifuatavyo

Status
Not open for further replies.
Ronaldo hawezi kufikia uwezo hata wa akina Gareth Bale, Neymar, Mbape n. K

Messi ndo Goat
Ronaldo ana magoli 976

Nioneshe mchezaji mwingine mwenye hayo magoli au kumzidi.
 
kuna madogo msitafute umarufu kwenye kikundi kidogo cha watu mtawaumiza wapendwa wenu kwa kufuata mkumbo
 
Ronaldo ana magoli 976

Nioneshe mchezaji mwingine mwenye hayo magoli au kumzidi.
Kufunga magoli mengi sio kigezo pekee cha kuwa mchezaji Bora
Akina na Kaka, Rodri, Cannavaro, Dembele n. K wamechukua ballon dor japo hawakuwa na numbers nzuri

Mesi ana ballon dor 8, Ronaldo ana 5
Mesi amecheza world cup finals 3 na kuchukua 1 huku Ronaldo hajawahi kufika hata semi final
Mesi amechukua mchezaji Bora mara 2 wa world cup, Ronaldo hajawahi
Messi ana assists nyingi na goal contribution kuliko Ronaldo
Kwa hizi numbers tukumbuke Ronaldo kamzidi Mesi miaka 3
Kwaiyo Mesi ni mdogo Kwa Ronaldo kiumri
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom