Ukitaka kugombana na hawa members wafuatao basi gusia hivi vifuatavyo

Status
Not open for further replies.
secretarybird jaribu kumpinga kuhusu punyeto

Kiranga jaribu kusifia dini mbele yake

min -me jaribu kusema kuwa pombe ni mbaya

anasbo jaribu kuwa-diss wadada wenye makebo makubwa

ngara23 jaribu kuongelea vibaya kuhusu chadema

Eli Cohen jaribu kuongea vibaya kuhusu israel

Mshana Jr jaribu kupinga kuwa uchawi haupo

Chizi Maarifa jaribu kuongea vibaya kuhusu wadada wa kiarabu

Ritz jaribu kuongea vibaya kuhusu hamas

Scars jaribu kusema ronaldo sio G.O.A.T

Lamomy jaribu kumsifia seran mbele yake

cocastic jaribu kuongea vibaya kuhusu vijana chapati

Poor Brain jaribu kuongea vibaya kuhusu mishangazi minene

Ongezea wengine⤵️
umenisahau kuhusu "no fap"
 
dronedrake kataa ndoa
 
Mshana Jr jaribu kusema kuwa uchawi haupo

Chizi Maarifa jaribu kuongea vibaya kuhusu wadada wa kiarabu

Ritz jaribu kuongea vibaya kuhusu hamas

Scars jaribu kusema ronaldo sio G.O.A.T

Lamomy jaribu kumsifia seran mbele yake

cocastic jaribu kuongea vibaya kuhusu vijana chapati

Poor Brain jaribu kuongea vibaya kuhusu mishangazi minene

realMamy jaribu kuongea vibaya kuhusu kuhongwa

Ongezea wengine
😅😅😅😅
 
kashaona huko juu wew ni mtetezi kwahiyo utakua unafaham wanapo jificha hao watu😅😅 akaokote hata mmoja
😂😂😂 hapana, mie ni mtetezi wao, ila sina nachojua kuwahusu.
Ataniandama buree tuu. Woiiiih
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom