So unachowatetea wewe kitu gani?Ewaaah!! ๐๐๐
Yaani hata JF wote waje na uwe peke yako bado utashinda.Au useme Ronaldo sio GOAT
Tutakesha
Kuna memba akijaa nambutua!Coz mleta uzi kaanza kushambulia wachangiaji kwa IDs zake zingine,anafikiri hajulikani.
Naipenda mno chademasecretarybird jaribu kumpinga kuhusu punyeto
Kiranga jaribu kusifia dini mbele yake
min -me jaribu kusema kuwa pombe ni mbaya
anasbo jaribu kuwa-diss wadada wenye makebo makubwa
ngara23 jaribu kuongelea vibaya kuhusu chadema
Eli Cohen jaribu kuongea vibaya kuhusu israel
Mshana Jr jaribu kupinga kuwa uchawi haupo
Chizi Maarifa jaribu kuongea vibaya kuhusu wadada wa kiarabu
Ritz jaribu kuongea vibaya kuhusu hamas
Scars jaribu kusema ronaldo sio G.O.A.T
Lamomy jaribu kumsifia seran mbele yake
cocastic jaribu kuongea vibaya kuhusu vijana chapati
Ongezea wengineโคต๏ธ
Messi ni GOAT of corruptionAu useme Messi sio GOAT
Hata kwenye huuhuu Uzi panachimbika๐
kwanini umemkimbilia coca au ndo mtetezi wako mwanetu,Cocastic ni nani uyoo maana mimi sio mwenyeji humu nipeni direction familiar..
..!!!
Tukusikilize wewe au idol wako?Ronaldo sio GOAT and he never was
Nani tena huyoo?? ๐๐๐kwanini umemkimbilia coca au ndo mtetezi wako mwanetu,
Haswaaa, uko sahihi mnoo..Android yako ina app store kmmk zako
Endelea khufiยฎwa mana mkungu n wako
Ila Argentina wangeshinda WC dunia ingeendelea kudanganywa Messi n mchezaji bora ๐Tukusikilize wewe au idol wako?
Hapa ni either uwe shabiki wa Ronaldo au hater wa Ronaldo. There's no such thing as Messi's fan
View attachment 3642115
HahahaNa hasa ukijaribu kukosoa uzuri wa Haszu usiotiliwa shaka na mtu yeyote
๐คฃ๐คฃ yaani anataka direction ya kukupata sio kukufaham tu๐๐๐ jamanii muambie asitake kunifahamu.
Wanao nifahamu wanatosha
HahaaWaambie wawe wazi, raha ya uchoko ujiaminii atiiii.
Afu wanafanyaje tenaa?? Ila wewee.
๐๐๐