proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,616
- 11,854
umenisahau kuhusu "no fap"secretarybird jaribu kumpinga kuhusu punyeto
Kiranga jaribu kusifia dini mbele yake
min -me jaribu kusema kuwa pombe ni mbaya
anasbo jaribu kuwa-diss wadada wenye makebo makubwa
ngara23 jaribu kuongelea vibaya kuhusu chadema
Eli Cohen jaribu kuongea vibaya kuhusu israel
Mshana Jr jaribu kupinga kuwa uchawi haupo
Chizi Maarifa jaribu kuongea vibaya kuhusu wadada wa kiarabu
Ritz jaribu kuongea vibaya kuhusu hamas
Scars jaribu kusema ronaldo sio G.O.A.T
Lamomy jaribu kumsifia seran mbele yake
cocastic jaribu kuongea vibaya kuhusu vijana chapati
Poor Brain jaribu kuongea vibaya kuhusu mishangazi minene
Ongezea wengine‡οΈ
Nini !?Tukusikilize wewe au idol wako?
Hapa ni either uwe shabiki wa Ronaldo au hater wa Ronaldo. There's no such thing as Messi's fan
View attachment 3642115
dronedrake kataa ndoasecretarybird jaribu kumpinga kuhusu punyeto
Kiranga jaribu kusifia dini mbele yake
min -me jaribu kusema kuwa pombe ni mbaya
anasbo jaribu kuwa-diss wadada wenye makebo makubwa
ngara23 jaribu kuongelea vibaya kuhusu chadema
Eli Cohen jaribu kuongea vibaya kuhusu israel
Mshana Jr jaribu kupinga kuwa uchawi haupo
Chizi Maarifa jaribu kuongea vibaya kuhusu wadada wa kiarabu
Ritz jaribu kuongea vibaya kuhusu hamas
Scars jaribu kusema ronaldo sio G.O.A.T
Lamomy jaribu kumsifia seran mbele yake
cocastic jaribu kuongea vibaya kuhusu vijana chapati
Poor Brain jaribu kuongea vibaya kuhusu mishangazi minene
Ongezea wengine‡οΈ
BICHWA KOMWE -Anasbo mzee wa kinyeo a.k.a mix by yas
Wangesumbua sana, humu kusingekalikaIla Argentina wangeshinda WC dunia ingeendelea kudanganywa Messi n mchezaji bora π
Messi n tapeli
Kabla ya FIFA kuingilia kati, kila mmoja alikuwa shabiki wa Ronaldo.Ndio
Nini !?
π π π πsecretarybird jaribu kumpinga kuhusu punyeto
Kiranga jaribu kusifia dini mbele yake
min -me jaribu kusema kuwa pombe ni mbaya
anasbo jaribu kuwa-diss wadada wenye makebo makubwa
ngara23 jaribu kuongelea vibaya kuhusu chadema
Eli Cohen jaribu kuongea vibaya kuhusu israel
Mshana Jr jaribu kusema kuwa uchawi haupo
Chizi Maarifa jaribu kuongea vibaya kuhusu wadada wa kiarabu
Ritz jaribu kuongea vibaya kuhusu hamas
Scars jaribu kusema ronaldo sio G.O.A.T
Lamomy jaribu kumsifia seran mbele yake
cocastic jaribu kuongea vibaya kuhusu vijana chapati
Poor Brain jaribu kuongea vibaya kuhusu mishangazi minene
realMamy jaribu kuongea vibaya kuhusu kuhongwa
Ongezea wengine
Ile final ndio imemuumbua, na ikawaumbua na mashabiki wake....Ila Argentina wangeshinda WC dunia ingeendelea kudanganywa Messi n mchezaji bora π
Messi n tapeli
πππHahaa
Hapanaa, Direction haisomi uelekeo plz.π€£π€£ yaani anataka direction ya kukupata sio kukufaham tu
Spain walipiga mbungi la maana ile siku, Messi haaminii.Ile final ndio imemuumbua, na ikawaumbua na mashabiki wake....
GOAT wa wapi kwani yule!!? π€£π€£π€£
π π π π π labda anataka connection yelewi π€£Hapanaa, Direction haisomi uelekeo plz.
πππ
Ronaldo hawezi kufikia uwezo hata wa akina Gareth Bale, Neymar, Mbape n. KKabla ya FIFA kuingilia kati, kila mmoja alikuwa shabiki wa Ronaldo.
Yaani sijui tulimfanya nini mshkajiHuyu habari yoyote positive kuhusu wanawake hataki. Yeye anataka mabaya yao tu, na anaamini wote wapo desperate, anaamini ni wa kuonewa huruma tu na hawawezi kuwa na mchango kwa wanaume.
πππ nimechekaa sanaa.π π π π π labda anataka connection yelewi π€£
kashaona huko juu wew ni mtetezi kwahiyo utakua unafaham wanapo jificha hao watuπ π akaokote hata mmojaπππ nimechekaa sanaa.
Connection niitoe wapi mie?
πππ hapana, mie ni mtetezi wao, ila sina nachojua kuwahusu.kashaona huko juu wew ni mtetezi kwahiyo utakua unafaham wanapo jificha hao watuπ π akaokote hata mmoja