Ukitaka kuishi kwenye ndoa yenye furaha na amani fanya hivi kijana.....

Ajiri house girl anayejua kupika.
Mwenzenu wangu mzuri idara nyingi, Ila hii ya jikoni, sijui kwanini hataki kujifunza, halafu ikifika weekend akiwa nyumbani anataka apike yeye. Jamani hiki Ni Nini? Nyama so ndio mnasema Ni tamu, hamjaona inavyopikwa mpaka ladha yote ikapukutika. Mwambie una hamu ya chapati Sasa, utajuta mpaka uiite papati.
Kosea siku umwambie acha tu house gel apike, utasemwa mpaka usemeke.
Enewei, Bahati nzuri weekend Ina siku mbili tu.
Ingekua ndio mpishi kila siku......sinyaagile....
 
Humu jf waliooa ni wengi kuliko kataa ndoa,,sema kataa ndoa wana id zaid ya tano kila mmoja ionekane ni wengi........

Endeleeni tu kutupenda wake zenu😌
 
Hahahaha!!!!.......mkuu kwa hiyo unagugumia chapati ngumu kama msasa kishingo upande
 
Kuna Yule kijana anajiita Stamina muimba mziki
Asee iliteswa Na mke wake hadi kutoa wimbo
 
Suala la NDOA
Ni lazima mmoja asitumie akili hasa mwanaume, hapo mtafika mbali! Unajua hapa ni uongo wewe kubali tu! Utakubali kuiacha akili yako isifanye kazi??

Wazee wetu walitumia sana hii mbinu! Anajua kabisa yule siyo mwanangu na bado anaishi naye na kumlea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…