cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Duuuuuuh hatari kwa kweli lolWengi wanachukulia poa ila hayajawakuta... Kule mwembe mdogo kuna wahuni walivamia makazi ya mjeda wakaiba afu walipomaliza wakamtenda mke wake... Bahat mjeda alikuwa na cctv nyumbani... Ulipigwa msako mkali wakajikutwa kumbe ni boda boda... Waliuwawa kifo cha kinyama ili wenzao habari ziwafikie...
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app