RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Na kadiri watu wanavyohamia kunakuwa salama zaidi.Sawa mkuu... Uzuri serikali inajitahidi kuimarisha ulinzi na kuongeza vituo vya polisi maeneo mengi huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kadiri watu wanavyohamia kunakuwa salama zaidi.Sawa mkuu... Uzuri serikali inajitahidi kuimarisha ulinzi na kuongeza vituo vya polisi maeneo mengi huko
SureNa kadiri watu wanavyohamia kunakuwa salama zaidi.
nina viwanja vinne kigambon nilinunua enz zile kikwete anasema unajengwa mji wa kisasa ila kiukweli cjawah kutaman kuish kigambon. napaona kumekaa kipemba sana aisee.Kigamboni (sasa ni wilaya) ni sehemu ya jiji la Dar es Salaam ambayo tofauti na maeneo mengine ilichelewa kuendelezwa kimiundombinu mpaka kufika miaka ya 90. Watu walichelea kuishi huko kutokana na kupaona ni maporini palipostahili kuishi wanyama.
Hivi leo, mambo ni tofauti sana, mji unakua kwa kasi ya ajabu, barabara zinajengwa kutangulia makazi ya watu, ni sehemu pekee katika jiji la Dar es Salaam ambako ukiingia unasahau kuhusu foleni za barabarani, hali ya hewa ni nzuri kutokana kutokuwepo kwa ujenzi holela wa nyumba, ni karibu sana na city centre na kuna fursa nyingi za kuanzisha biashara.
Binafsi nilifika kwa mara ya kwanza na kuhamia Kigamboni mwaka 2015 kutoka Survey maeneo ya karibu na Mlimani city nilipoishi kwa takribani miaka minne ila mpaka kufikia leo sijawahi kujutia kuishi huku wala kuwaza kuhamia mahali pengine katika mji huu kutokana na sifa nilizozitaja hapo juu na kwa bahati nzuri Mungu amenijaalia kujenga kakibanda huku huku.
Kwa ambao hawajawahi kufika huku hudhani kwamba Kigamboni ni kisiwa na kwamba usafiri pekee wa kufika huku ni wa kuvuka maji kwa pantoni, la hasha! Kigamboni si kisiwa bali imetenganishwa na sehemu nyingine ya jiji kwa sehemu ya bahari iliyoingia nchi kavu (ghuba) ambayo ni bandari ya Dar es Salaam na Kwa sasa ukiachilia usafiri wa wa pantoni kuna daraja na barabara mbili ambazo unaweza kupita bila hata kuiona hiyo bahari.
Karibuni sana Kigamboni.
Una wasiwasi napo, dawa ni kwenda kununua kipindi cha masika, hapo ndio utajua km unauziwa bwawa la kambale ama kiwanja. [emoji23]
Usichanganyikiwe kwa kusikiliza maneno ya waropokaji wa humu,wengi wao wanajitia ujuaji kwa habari za kusikia na hawajui kama hawajui, njoo ujionee mwenyewe Kigamboni is safe and more secured compared to other places in Dar.Hakika utaenjoy likizo na mapumziko yakoMmeshanichanganya Sasa, Mr anatafuta nyumba ya kupumzikia kipindi cha likizo na kwa hapo dar, kigamboni ameipa kipaumbele, ila kwa maelezo ya humu mh[emoji849]
Kama yupo States au Europe, most likey hatotaka kujenga sehemu nyingine kama kibamba, tegeta, goba sijui mitaa ya kuelekea mlandizi huko kupo too disorganized.Mmeshanichanganya Sasa, Mr anatafuta nyumba ya kupumzikia kipindi cha likizo na kwa hapo dar, kigamboni ameipa kipaumbele, ila kwa maelezo ya humu mh🙄
Kwa dar mi sio mwenyeji kabisa, vipi Kuna mradi wa nyumba za serikali huko?Usichanganyikiwe kwa kusikiliza maneno ya waropokaji wa humu,wengi wao wanajitia ujuaji kwa habari za kusikia na hawajui kama hawajui, njoo ujionee mwenyewe Kigamboni is safe and more secured compared to other places in Dar.Hakika utaenjoy likizo na mapumziko yako
Shukrani sana mkuu, tutazingatia ushauri wakoKama yupo States au Europe, most likey hatotaka kujenga sehemu nyingine kama kibamba, tegeta, goba sijui mitaa ya kuelekea mlandizi huko kupo too disorganized.
Kigamboni is the future.
Okay,ipo miradi ya NHC,Watumishi Housing,NSSF na AvicKwa dar mi sio mwenyeji kabisa, vipi Kuna mradi wa nyumba za serikali huko?
Hembu tuambizane kwanza kigamboni kuna bata gani .Na kadiri watu wanavyohamia kunakuwa salama zaidi.
Pole sana kwa kadhia uliyopata ila fahamu sasa mambo yamebadilika na kila kukicha yanazidi kubadilika in a positive manner, usafiri si tabu tena , pantoon ni za uhakika zipo 3 na zinafanya kazi 24hrsKuna wakati pantoon ilikosekana ikawa tunavukia kule TAFICO au kwa kutumia ngwanda ,maji yalikuwa ni tabu nyingine NUWA walitumia mtambo wao wa kule Mtoni Temeke,na ilikuwa tunakaa zaidi ya mwezi bila huduma ya maji Safi zaidi tukitegemea visima vya shimo
Usalama kwa maeneo yetu ulikuwa wa uhakika kwa asilimia zoote,ila kwa kadhia niliyopitia kumenitumbukia nyongo kuishi kigamboni ukijumlisha na gharama chakula kuwa juu
Waweza nitumia link ya hii kitu PM mkuu Kama hautojaliOkay,ipo miradi ya NHC,Watumishi Housing,NSSF na Avic
UsijaliWaweza nitumia link ya hii kitu PM mkuu Kama hautojali
Ukome Kututukana Watoto wa Kinondoni sawa? Kinondoni ndiyo Tanzania na Mishahara yenu yote mnapata kwa 'cheques' zenu 'Kusainishwa' na Mabosi zenu ( Mataita wenu ) wanaokaa ( wanaoishi ) Kinondoni huku sawa? Washamba ( Mambwiga ) wakubwa nyie!!Vibaka vibaka, wezi na kaka zao majambazi wengi wameshapigwa vyuma [emoji379] na askari.. Ni watoto waliotoka mbagala, Kinondoni na maeneo memgine, ndio walianza kuleta usela mavi.
Nipo kigamboni toka 2000 mwishoni nikitokea kurasini.. Huku maisha yalikuwa shwaari kabisa unaanika hadi nguo na unazikuta asubuhi, walivyoanza kuja watu mbalimbali wakaanza kuharibu mji, ila sasa hali shwaari kabisa, mtaani si chini ya watoto 5 wamekula vyuma.. Kumepoa kinyama.
Hakuna sehemu kuna kosa kero..
Ila yoote kwa yoote kigamboni kuhama inataka moyo saana.
wadaslam kuwaondolea kigamboni ni Temeke kichwani ni ngumu sana ila uzuri wake inakuzwa na middle income class na real estate projects, baada ya muda itakuwa ni habari nyingine maana vitu kama tatizo la usafiri si kitu permanent