Ukitaka kuishi vizuri Dar es Salaam ishi Kigamboni

Ukitaka kuishi vizuri Dar es Salaam ishi Kigamboni

Si tunatokaga wote we ndio mwalimu wangu, unadhani hatujui kinondoni km nyumba choko, nyumba teja.. Wewe sio teja, utakuwa nani, zaidi ya kuwa mchokozi..

Tabia ya mtu huoneshwa na maongezi yake, mlev atakuwa anazungumzia saana vilevi na bar, malaya atazungumzia mambo yanayoendana na umalaya, mchamungu atazungumzia mambo ya mungu..

Sasa wewe unaezungumzia mambo ya uchoko, itakuwa wewe ni mchokozi tu..

Sijui una matatizo gani kwa ndonga yako we jamaa au wakikamua wanakutoa na akili zenyewe..

Ukiheshimiwa, heshimika kaka.
Basha wako anahitaji 'Nyabe' lako tena.

 
Halafu wanaongelea Kigamboni utafikiri ni kasehemu kama Kinondoni kumbe kuna watu wanatembea km30 kufika makwao ndani ya kigamboni
Yani mi nahisi Kigamboni ukubwa wake ni wilaya ya temeke na Ilala combined
 
Ukijaribu kuvuka kupitia daraja ni mizinguo sana .Kigamboni hapana kwa kweli bora hata nibaki kwa Mpalange😂😂
 
Mkuu shida sisi wabongo tunawaza mahitaji ya miaka 2-5 au labda 10, hatuwazi mbali zaidi. Hivi unajua Size ya jiji la Dar kwa maana ya eneo ni ndogo sana ukilinganisha na majiji mengine makubwa ambayo yana idadi sawa na Dar, lakini kwenye majiji yenye network nzr ya miundombinu, suala la umbali toka point A kwenda B sy issue. Kuna subways, Kuna mabus ya umma, kuna trams n.k, ni vile tu sisi hatutoweza kuwa na underground trains miaka ya karibuni, lakini kwa ukuaji wa Dar na namna technology inavyoongezeka Pamoja na idadi kubwa ya wakazi inavyoongezeka jijini, basi Dar vitu kama train za kupita juu kama za Japenga au Chicago Illinois na trams havitokwepeka na hv kutakuwa na umeme bwerereee, utaweza toka kibamba mpaka ferry ndani ya 30minutes. Dar inakuwa kwa kasi ya ajabu sana, miaka ya mwishoni mwa 80 na mwanzoni mwa 90 hapo tu tabata Kimanga na tabata shule pande za kushoto ndani kidogo bibi yangu alikuwa na manamba ya mpunga na mikorosho. Leo hii, pametapakaa nyumba kote, miaka hyhy, tukikuwa tukienda vua samaki katika mabwawa hapo mikocheni ofisi za sasa za tanesco.
mku yaani unashukia mbezi stendi ya mabasi halafu uanze safari ya kuitafita kimbiji bora kujenga maeneo ya Mbezi, kibamba, kiluvya au kibaha, huko kigamboni, Temeke, Mbagala, kisemvule na vikindu wacha wakae watu wa kusini ambapo ni rahisi kwenda kwao.
 
Hivi Kuna sehemu watu wanaibiwa vifaa vya magari kama Goba, tegeta, madale?
Hakuna sehemu isio na crime Dar es salaam hii. Watu wanakatwa mapanga Ocean road Mita kadhaa kutoka nyumba kubwa itakuwa kwenye makazi kama Kigamboni? Au huko Goba,Makabe,Bunju hamna crime?
 
Karibu sana mrembo, huku wanakaa middle income wa kutosha haswa maeneo ya makazi mapya maeneo ya Geza, Mikwambe, Kibada n.k ustaharabu kama wote.
Asante nipe a, b, c, d ikiwezekana njoo pm
 
Ukipata muda tembea kuanzia Mji mwema Hadi Mikwambe uone viwanja vilivyopo barabara hio peke yake achana na zile hotels za baharini. Ikifika weekend napata shida niende wapi. Kigamboni sihami tena nazidi kusogea mbele kule nishafika Dege eco village
Karibu Buyuni

I.wish barabara ingemaliziwa

Buyuni kuna beach tamu sana
 
Ni kwamba hayo maeneo yote Kuna viwanja vya kupima na baadhi vya squatter, nakushauri chukua cha kupima. Kuna makampuni mengi sana yapo huku wanahusika na uuzaji wa viwanja ( wana bei na wana top up kwa original price na commission wanakata) lakini pia Kuna madalali na wenyewe wanatop up na watataka commission hawa unaweza wasomesha na wakakuelewa muhimu upate muaminifu.

Kuna viwanja vipo kwa neighborhood nzr mno vya kupima bei changamshi kdg ila it's worth the price na Kuna viwanja vipo na location matata sana, kiasi unaliona jiji la Dar haswa posta kwa juu hv. Kama ukifanikiwa ukashusha ka ghorofa kako kisha balcony ya master inakuwa na view ya city, inakuwa amazing. Bei inategemea na square mita. Maeneo mazuri ni hayo niliyokutajia hapo juu, kwamba Gezaulole, Kuna Avic town mji mmja wa kishua sana, mikwambe na Kibada.

Kuhusu accessibility, kwasasa kigamboni inajengwa sana, miundo mbinu imeboreshwa na inaendelea kuboreshwa, gari zipo za kumwaga japo si za kufanya kazi mpaka usiku wa manane, life la huku ni la kibepari fln hv, ambapo unaenjoy zaidi ukiwa na usafiri binafsi kama ilivyo miji mingi ya states [emoji2][emoji2]. Huduma za afya zipo za kutosha, agha Khan wana Polyclinic yao pale Shangwe, shule kwa ajili wa watoto zinafumuka kwa kasi ya rocket, ingawa Kuna shule maarufu kama Malaika, HBS, Joyland, Excel etc. Kingine nini, maji? DAWASCO wako katika mpango kama siyo wapo katika utekelezeji wa kuchimba kisima kitakacho kuwa kina samabaza maji kwa wilaya nzima ya Kigamboni, kumbuka maji yatakuwa treated na ya siyo ya chumvi.

Kuhusu usalama, ni kama ilivyo sehemu zingine zozote za makazi mapya, lkn coverall usalama upo wa kutosha. Uzuri wa kigamboni kwangu ni uwepo wa space, yaani hakuna foleni wala mbanano lakin pia ni sehemu ambayo unaweza kaa ukatuliza akili, lakini trust me kama wewe ni mtu wa kupenda fast life kama ya Sinza au kino kigamboni utapachukia sana. Binafsi napenda maisha matulivu, sababu nimwzaliwa na kukulia katika wilaya yenye mchaka mchaka jijini, kigamboni pana nifaa sana, pana life fln hv la ki suburban kama umenaglia series moja unaitwa "Desperate house wives" au " If Loving you is wrong". Mwisho, Kigamboni Kuna sehemu za kula starehe kwa maana ya Bar, ila ni kistaarabu zaidi, zipo za kutosha sana kuanzia silver shark, shamba bar, na zingine nyingi sana.

Kwa kumalizia kama shughuli zako ni mjini kati, basi utapapenda Kigamboni, sababu fasta tu upo town, achana na hao wanaosema pantoni zinazingua, Yes Kuna muda inatokea hvy, lakn si mara zote. Ukiishi kigamboni mara zote utakuwa unaenda kinyume na foleni za mjini
NIMEONA NIWEKE HAPA KWA FAIDA YA WOTE, OTHERWISE una issue ya ndani sana, karibu PM.
.
Asante nipe a, b, c, d ikiwezekana njoo pm
 
Kwa sisi ambao tumetoa tongotongo za macho.naweza kusema sehemu ya KIGAMBONI ilitakiwa iwe ni sehemu ambayo yenye mvuto mkubwa wa kuishi watu na siajabu ndio ingekuwa sehemu ghali kuishi lkn bahati mbaya kwenye miti hakuna wajenzi.

Tazama hiyo attached pic hapo angalia kwa umakini kisha analyse the location wisely .
Screenshot_20210618-101116_Maps.jpg
 
Tuwaombe mamlaka husika wapunguze bei ya kivuko cha daraja, haiwezekani bei iwe sawa na bantoni. Bei ikipungua, wengi tutashawishika kuja kuishi huko
Kwanza kisheria kivuko na daraja havikupaswa kulipia ushuru kwakuwa ni viunganishi vya barabara. Mbona hakuna malipo daraja la mto Wami au la Mkapa mto rufiji?
 
Back
Top Bottom