GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Huko ukiwa na 'Akili' wala si kwa Kuishi.Sio uongo kigamboni kwa wizi hasa wa kuchana nyavu dirishani vijana wako njema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko ukiwa na 'Akili' wala si kwa Kuishi.Sio uongo kigamboni kwa wizi hasa wa kuchana nyavu dirishani vijana wako njema
Is you he/she?Ukome Kututukana Watoto wa Kinondoni sawa? Kinondoni ndiyo Tanzania na Mishahara yenu yote mnapata kwa 'cheques' zenu 'Kusainishwa' na Mabosi zenu ( Mataita wenu ) wanaokaa ( wanaoishi ) Kinondoni huku sawa? Washamba ( Mambwiga ) wakubwa nyie!!
NaamMradi wa DAWASA kutokea Kimbiji ukimalizika Kigamboni itakuwa na maji poa kuliko Dar Tz nzima maana maji yake yanatoka chini tofauti na haya ya RUVU na Victoria
WAPEMBA wana ndumba sana, huko hakufai, na ukiona mahali mchaga hayupo hapafai.Kigamboni (sasa ni wilaya) ni sehemu ya jiji la Dar es Salaam ambayo tofauti na maeneo mengine ilichelewa kuendelezwa kimiundombinu mpaka kufika miaka ya 90. Watu walichelea kuishi huko kutokana na kupaona ni maporini palipostahili kuishi wanyama.
Hivi leo, mambo ni tofauti sana, mji unakua kwa kasi ya ajabu, barabara zinajengwa kutangulia makazi ya watu, ni sehemu pekee katika jiji la Dar es Salaam ambako ukiingia unasahau kuhusu foleni za barabarani, hali ya hewa ni nzuri kutokana kutokuwepo kwa ujenzi holela wa nyumba, ni karibu sana na city centre na kuna fursa nyingi za kuanzisha biashara.
Binafsi nilifika kwa mara ya kwanza na kuhamia Kigamboni mwaka 2015 kutoka Survey maeneo ya karibu na Mlimani city nilipoishi kwa takribani miaka minne ila mpaka kufikia leo sijawahi kujutia kuishi huku wala kuwaza kuhamia mahali pengine katika mji huu kutokana na sifa nilizozitaja hapo juu na kwa bahati nzuri Mungu amenijaalia kujenga kakibanda huku huku.
Kwa ambao hawajawahi kufika huku hudhani kwamba Kigamboni ni kisiwa na kwamba usafiri pekee wa kufika huku ni wa kuvuka maji kwa pantoni, la hasha! Kigamboni si kisiwa bali imetenganishwa na sehemu nyingine ya jiji kwa sehemu ya bahari iliyoingia nchi kavu (ghuba) ambayo ni bandari ya Dar es Salaam na Kwa sasa ukiachilia usafiri wa wa pantoni kuna daraja na barabara mbili ambazo unaweza kupita bila hata kuiona hiyo bahari.
Karibuni sana Kigamboni.
Zipo WATUMISHI HOUSING.Kwa dar mi sio mwenyeji kabisa, vipi Kuna mradi wa nyumba za serikali huko?
Wapemba wengi wapo Kigamboni ya zamani kuanzia feri hadi kisiwani, miji mipya kama Gezaulole,Kibada,Mikwambe etc sio wengi. Huko waliwahi Wasukuma.WAPEMBA wana ndumba sana, huko hakufai, na ukiona mahali mchaga hayupo hapafai.
WAPEMBA wana ndumba sana, huko hakufai, na ukiona mahali mchaga hayupo hapafai.
Hizo sehemu za karibu na bahari nikiwazia Tsunami hamu yote inaisha...Kigamboni (sasa ni wilaya) ni sehemu ya jiji la Dar es Salaam ambayo tofauti na maeneo mengine ilichelewa kuendelezwa kimiundombinu mpaka kufika miaka ya 90. Watu walichelea kuishi huko kutokana na kupaona ni maporini palipostahili kuishi wanyama.
Hivi leo, mambo ni tofauti sana, mji unakua kwa kasi ya ajabu, barabara zinajengwa kutangulia makazi ya watu, ni sehemu pekee katika jiji la Dar es Salaam ambako ukiingia unasahau kuhusu foleni za barabarani, hali ya hewa ni nzuri kutokana kutokuwepo kwa ujenzi holela wa nyumba, ni karibu sana na city centre na kuna fursa nyingi za kuanzisha biashara.
Binafsi nilifika kwa mara ya kwanza na kuhamia Kigamboni mwaka 2015 kutoka Survey maeneo ya karibu na Mlimani city nilipoishi kwa takribani miaka minne ila mpaka kufikia leo sijawahi kujutia kuishi huku wala kuwaza kuhamia mahali pengine katika mji huu kutokana na sifa nilizozitaja hapo juu na kwa bahati nzuri Mungu amenijaalia kujenga kakibanda huku huku.
Kwa ambao hawajawahi kufika huku hudhani kwamba Kigamboni ni kisiwa na kwamba usafiri pekee wa kufika huku ni wa kuvuka maji kwa pantoni, la hasha! Kigamboni si kisiwa bali imetenganishwa na sehemu nyingine ya jiji kwa sehemu ya bahari iliyoingia nchi kavu (ghuba) ambayo ni bandari ya Dar es Salaam na Kwa sasa ukiachilia usafiri wa wa pantoni kuna daraja na barabara mbili ambazo unaweza kupita bila hata kuiona hiyo bahari.
Karibuni sana Kigamboni.
Wanauziwa watumishi ama hata wasio watumishi?Zipo WATUMISHI HOUSING.
Unaanza kuandika maneno ya KANGA.Ukome Kututukana Watoto wa Kinondoni sawa? Kinondoni ndiyo Tanzania na Mishahara yenu yote mnapata kwa 'cheques' zenu 'Kusainishwa' na Mabosi zenu ( Mataita wenu ) wanaokaa ( wanaoishi ) Kinondoni huku sawa? Washamba ( Mambwiga ) wakubwa nyie!!
Unayoivaaga ukitokea kwa Basha wako.Unaanza kuandika maneno ya KANGA.
Hiki Kiingereza chako cha 'Kipumbavu' tena 'Grammatically' kabisa ulijifunzia wapi?Is you he/she?
Shida kweli kweli na ma gharama yani ina maana wewe kuvuka itakulazimu upoteze 90-100K per months kwenda na kurudi kwako! Huu ujinga ndio unanifanya Kigamboni sitaki hata kupasikia
Hapa ndio si pa kuweka mguu... Beto nje nje wahuni wengi tena ni boda boda
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Ni kweli mkuu tena ni vitoto vitoto .....kila weekend vinaendaga mikadi,vinaenda vinapiga kelele barabara nzima.
Natamani nipate kiwanja kigamboni napapenda Sana hata pa future use anayejua anipe a, b, c, d
Si tunatokaga wote we ndio mwalimu wangu, unadhani hatujui kinondoni km nyumba choko, nyumba teja.. Wewe sio teja, utakuwa nani, zaidi ya kuwa mchokozi..Unayoivaaga ukitokea kwa Basha wako.