Ukitaka kuishi vizuri Dar es Salaam ishi Kigamboni

Ukitaka kuishi vizuri Dar es Salaam ishi Kigamboni

Tabata ndo sehemu nzuri ya kuishi, kuanzia aroma, shule, bima, barakuda, segerea,kinyerezi pako njema mno
 
U spoke my mind... Kigamboni kuna uhalifu si wa kitoto... Wahuni wanajificha Kimbiji huko

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Kuna Watu wanacheka tu nilichokiandika kwakuwa wameshakariri kuwa ' sometimes ' nakuwa ' Comedian ' hapa JamiiForums, ila nilichokiandika nimekimaanisha na ni juzi juzi tu hapa Mkuu ' nimekoswakoswa ' huko Kigamboni isingekuwa Umahiri wangu wa Kutoka Baru ( Kukimbia ) leo yangenikuta. Huko hakuna Usalama kabisa wala msidanganywe ukiona uko huko na imefika Saa 12 Jioni anza kuitafuta njia ya Kuondokea.
 
Si atokee mtu awatukane mlojenga [emoji23]
Anza wewe kutusi...
Mi aliyejenga namheshimu maana ana uhakika wa sehemu ya kuishi hata maisha yakimgonga vipi hasumbuliwi na mtu, sisi wengine mambo yakiwa mabaya twamkwepa mwenye nyumba yake
 
Kuna Watu wanacheka tu nilichokiandika kwakuwa wameshakariri kuwa ' sometimes ' nakuwa ' Comedian ' hapa JamiiForums, ila nilichokiandika nimekimaanisha na ni juzi juzi tu hapa Mkuu ' nimekoswakoswa ' huko Kigamboni isingekuwa Umahiri wangu wa Kutoka Baru ( Kukimbia ) leo yangenikuta. Huko hakuna Usalama kabisa wala msidanganywe ukiona uko huko na imefika Saa 12 Jioni anza kuitafuta njia ya Kuondokea.
Wengi wanachukulia poa ila hayajawakuta... Kule mwembe mdogo kuna wahuni walivamia makazi ya mjeda wakaiba afu walipomaliza wakamtenda mke wake... Bahat mjeda alikuwa na cctv nyumbani... Ulipigwa msako mkali wakajikutwa kumbe ni boda boda... Waliuwawa kifo cha kinyama ili wenzao habari ziwafikie...

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mikad sio wakaz wa kigambon asilimia kubwa wanaojaza mikadi ni viumbe wa mbagala videm wanyoa viduku chupi minuko ndio wanajaa san huko ukitaka kuamin hilo nenda weknd angalia magar yao waliyokod yanatokea wap
Kweli mkuu wengi wanatokea tandika , mbagala na gongolamboto wanakuwa wamekodi coster . Na hao vijana wanakuwa na fujo Sana. Ila jamani mikadi watu washaa achaga kulana kimasihara kwenye vile vibanda
 
Anza wewe kutusi...
Mi aliyejenga namheshimu maana ana uhakika wa sehemu ya kuishi hata maisha yakimgonga vipi hasumbuliwi na mtu, sisi wengine mambo yakiwa mabaya twamkwepa mwenye nyumba yake
Tupeane mbinu za kumkwepa mwenye nyumba na kuhama kimyaa kimyaa
 
Tupeane mbinu za kumkwepa mwenye nyumba na kuhama kimyaa kimyaa
Kuhama kimya kimya ngumu aisee, unamkwepa tu, unamwambia hali mbaya, atakupeleka Kwa Mjumbe ukifika huko unapewa Notice ya Mwezi au Miezi 3
Uhame
 
Back
Top Bottom