Ukitaka kuishi vizuri Dar es Salaam ishi Kigamboni

Duuuuuuh hatari kwa kweli lol
 
Kuhama kimya kimya ngumu aisee, unamkwepa tu, unamwambia hali mbaya, atakupeleka Kwa Mjumbe ukifika huko unapewa Notice ya Mwezi au Miezi 3
Uhame
Ehheeh ila niliona kuna humu aliandika uzi eti kujenga ni uoga wa maisha
 
Ehheeh ila niliona kuna humu aliandika uzi eti kujenga ni uoga wa maisha
TZ pekee ndio kuna hii bahati ya kujenga maana umiliki wa ardhi ni rahisi... Wenzetu mpaka upate ardhi na ujenge si mchezo... Ila vile vile madon wengi wenye akili they prefer renting to own. Ila huku sisi tunapenda kujilipua kwa kujenga kwa hardly earned money.

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mikad sio wakaz wa kigambon asilimia kubwa wanaojaza mikadi ni viumbe wa mbagala videm wanyoa viduku chupi minuko ndio wanajaa san huko ukitaka kuamin hilo nenda weknd angalia magar yao waliyokod yanatokea wap
Ni kweli mkuu tena ni vitoto vitoto .....kila weekend vinaendaga mikadi,vinaenda vinapiga kelele barabara nzima.
 
mku yaani unashukia mbezi stendi ya mabasi halafu uanze safari ya kuitafita kimbiji bora kujenga maeneo ya Mbezi, kibamba, kiluvya au kibaha, huko kigamboni, Temeke, Mbagala, kisemvule na vikindu wacha wakae watu wa kusini ambapo ni rahisi kwenda kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…