Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Kwahy hizo electronic fence zinaingia mahsusi nchini kwa ajili ya wana kigamboni tu?
Hapana. Hizo ni kwa ajli yako na wa Kigamboni tu.
Ya wapo kwenye eneo la Kibada miezi michache nyuma nilipata watu wanauza kuanzia 20-25m viwanja vikubwa kuanzia 800sqmDuuuh safi si ndio huko Makonda alipojenga na joti?
Kwa ' Babaako ' ambaye ni Mwandamizi.Kwa Ras Simba, we ushoga ulijifunzia wapi?
Practicallity ya mtu kukaa madale ni ishu kama anafanya kazi postaMkuu kila kitu kina gharama zake, hivi umewahi waza mtu anaeishi madale na kufanya kazi poata anapoteza mafuta ya gari kiasi gani kwa mwezi kwenye foleni? Kigamboni hata ukiwa na usafiri na shughuli zako nyingi ni katikati ya jiji, basi huna haja ya kuvuka na gari, kuna parking unalipia 1000-1500 mpaka jioni. Lakini pia Kuna Daraja la nyerere unaweza tumia. Yes ofcourse Kuna changamoto zake hususani katika vivuko kutokana na foleni na changamotoya barabara kwa upande wa darajani, lakini kwasasa Kuna upanuzi wa barabara unaendelea bandarini, ukikamilika mambo yatakuwa bambam.
Huyo jamaa labda anaongelea wale vibaka wa pale ferry waliokuwa wanawatarget wanachuo na kuwakwapulia lap top. Mimi nimeishi kigamboni Kibada tangu 2011 kiukweli crime rate ipo chini ukilinganisha na maeneo mengine kama tegeta, mbezi luis, mbagala na kwingineko. Bata Kigamboni ni hadi asubuhi na hamna uhalifu, sema tu ni kweli hamna viwanja vikali sana kama huko Masaki, Obey, Mlimani City,Sinza na kwingineko. Ila kwa foleni hatuna stress hizo kabisa hivi karibuni wametuwekea taa na bado naona kama hazina umuhimu sana kwa sasa.Acha fix wewe. Mimi kuna siku nakaa huko Juliana,samaki samaki Hadi saa Saba nane na ninarudi Kigamboni usiku sina mlinzi geti nafungua mwenyewe. Niliishi miaka mitatu bila geti
Hivi mtu kama huyo unamchukulia serious? Huko Kwa mpalange ingekuwa sehemu ya maana hawa NSSF na NHC si wangeenda kuwekeza huko? Au Aviv Town si wangeenda kuwekeza huko?Hiyo kwa mpalange unaona uzuri sasa, tuulize sisi ambao tumekaa na kusoma huko kuanzia primary , hiyo barabara kabla ya kujengwa ilishapoteza maisha ya watu hapo shule Dovya na pale kwa mama kibonge,
Kipindi hicho pale Azaboi ukikaa huko unaonekana unakaa mkoani [emoji28][emoji28],
Kwa mpalange lilikua eneo la michezo , kuwinda na kula korosho,
Maisha yanaenda kasi sana
MkuuDondwe mnaendeleaje huko nina kaeneo huko pia nasikia na umeme umeshaletwa huko swahiba,ni dondoo zaidi kiongozi..!/hofu yangu nasikia huko ni wachawi hawana mfano naomba ukweli ndugu kama hutajali....with lots of thanks.
Na kwanini tulipe? Kama NSSF washarudisha hela yao serikali ilichukue daraja tuwe tunapita bure kama madaraja mengine hapa nchini.Tuwaombe mamlaka husika wapunguze bei ya kivuko cha daraja, haiwezekani bei iwe sawa na bantoni. Bei ikipungua, wengi tutashawishika kuja kuishi huko
Hata robo bado.Na kwanini tulipe? Kama NSSF washarudisha hela yao serikali ilichukue daraja tuwe tunapita bure kama madaraja mengine hapa nchini.
Mkuu kutoka feri mpaka kibada sheli ni km ngapi?Wapemba wengi wapo Kigamboni ya zamani kuanzia feri hadi kisiwani, miji mipya kama Gezaulole,Kibada,Mikwambe etc sio wengi. Huko waliwahi Wasukuma.
Sheli ipi? Kuna oilcom pale junction mji mwema then mji mwema to Kibada kuna sheli kama tatu hivi. Ferry mpaka mji mwema ni kama km 5-6Mkuu kutoka feri mpaka kibada sheli ni km ngapi?
[emoji122][emoji122]Karibu sana, Mimi si dalali ila nimewatafutia rafiki zangu wanne viwanja huku, wawili wamejenga wawili bado,
Fani yangu ni Mhandisi ujenzi,
Ilitakiwa iwe hivyo mkuuNa kwanini tulipe? Kama NSSF washarudisha hela yao serikali ilichukue daraja tuwe tunapita bure kama madaraja mengine hapa nchini.
Huku sio.kwa kila mtu........ukiwa huku unasahau ma stress ya huko katiKigamboni pakishamba sana. Mara kumi hata Keko
siyo lazima uvuke na kivuko, kuna barabara ya kijichi ns unaweza kuzunguka kongoweShida kweli kweli na ma gharama yani ina maana wewe kuvuka itakulazimu upoteze 90-100K per months kwenda na kurudi kwako! Huu ujinga ndio unanifanya Kigamboni sitaki hata kupasikia
Duuh..sijakariri hiki kituo cha mafuta but hapo pia kuna junction kushoto barabara la vumbi nyingine ya lami inaendeleaSheli ipi? Kuna oilcom pale junction mji mwema then mji mwema to Kibada kuna sheli kama tatu hivi. Ferry mpaka mji mwema ni kama km 5-6