RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Vijana wengi Kigamboni wanafanyakazi bandari na wizara za hapo mjini, haizidi nusu saa kufika hapo. Halafu gari kama Passo ni 1,500 tu.Lakini kama unafanya kazi na ofisi zenu zipo Ilala & Kinondoni Temeke ama Posta basi utabana matumizi kama utaishi Kigamboni sababu mafuta ya kufika kazini ni kidogo, hakuna foleni pia utaamka saa 1 kamili ndiyo unaaza safari.
hiyo hela ya kivuko itajikata humo humo compared kama utaishi Bunju ama Mbweni, Tageta kuamuka saa 11 alfajiri kila siku na ku-drive zaidi ya km 30.